CHADEMA kumbe hotuba ya JK mliipenda, mlitokea nini sasa bungeni ?

Nimefurahishwa sana na CHADEMA kuichangamkia na kujiorodhesha kwa wingi kuchangia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa bungeni, kumbe waliipenda. Hapa sasa nimegundua kuwa kumbe ile hotuba ilikuwa nzuri na muhimu kwa mustakabali wa nchi, na nimeshangaa kwa jinsi CHADEMA walivyo ipenda na kujiorodhesha wengi, ambapo ilistahili wale waliokuwemo siku hiyo bungeni ndio walitakiwa waichangie tu. Siku zingine CHADEMA mkae mumsikilize Rais , mnachangia nini sasa ili hali nyie mlikataa hotuba yake ?. Mmeziba nafasi bure za wale ambao walitakiwa halali kuchangia.

Acha kuudhalilisha umri wako!Jaribu angalau kutafakari na kupima mambo kama mtu mzima....
 
G.B hivi hayo yoote unafanya klwa maslahi ya nani? hivi unaridhishawa na utendaji wa kikwete na serkali yake? je habari za ufisadi zinawahusu maswahiba wa kikwete na yeye mwenyewe wewe unazichukuliaje? kwanini unapenda kuwaudhi watu? kama wewe unafaidika na ufisadi ni bora ukae kimya kuliko kuja humu na kutupandisha hasira na kutuharibia siku zetu, sio vizuri jaribu kuwa mstaarabu.
 
Back
Top Bottom