JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 217
Kesho jumanne tarehe 22/05/2012 makamanda wa CHADEMA (Chama Makini) watalitikisa jiji la Mwanza ambapo kamanda Wenje, Lema na viongozi wengine mbalimbali wa CHADEMA jijini Mwanza pamoja na madiwani watatema sumu dhidi ya CCM (Chama cha wahujumu uchumi). Mkutano utafanyika Igoma stendi kuanzia muda wa saa nane mchana! Karibuni makamanda wote pamoja na magambo wote kwa pamoja bila kujali uzito wa gwanda wala gamba!
-M4C kama kawa!
-Vua Gamba Vaa Gwanda kama kawa!
.Mwenyekiti wa WANARORYA WOTE popote walipo!
-M4C kama kawa!
-Vua Gamba Vaa Gwanda kama kawa!
.Mwenyekiti wa WANARORYA WOTE popote walipo!