Chadema,kukosa maji na mtoto

May 2, 2011
15
0
Chama Cha Democracia na maendeleo huenda kisifike ktk hali nzuri ya kisiasa mwaka 2015,hii inatokana na hali halis ya
mgogoro uli
ofichika k

wa muda kati ya Zitto na Mbowe sasa umeanza kuonekana waz machon mwa watanzania kupitia vyombo vya habar 'tanzania daima' jana limethbitisha hili kupitia comment ya Zitto ktk mitandao ya jamii TANZANIAN GROUP na JF,sasa huwa nashangaa kuona wafuasi wa Chadema kushabikia migogoro Ya CCM wakati Viongoz wao wanasigana waz waz nanyi hamuwashauri,ninakumbusha endeleen kuishabikia migogoroya CCM ambayo ikichukuliwa hatua au hata kutafutiwa ufumbuzi,siku mnarud kwenu mtakuta ngumi zimetawala.'Mtakosa Maji na Mtoto'
 
tutaona kama hayo unayosema ni ya ukweli...

Sawa kabisa mkuu, Kwanza Chadema hakuna mgogoro.
Pili, tunauzoefu wa kutatua migogoro bila kuyumba, tumeshapitia migogoro mingi ya huko nyuma tangu enzi ya kaburu nk, hatukutetereka. Full stop.
 
Sijakuelewa,

Ok kuhusu mgogoro unaofikiri hataiharibu chadema kwani wako makini nafikiri unakumbuka huko nyuma zitto alileta chokochoko kama hizi akazimwa leo tunaona mtaalamu wa kukenuwa meno a.k..a Dr.wa madrasa anavyojaribu kumvimbisha zitto kichwa aligombee sasa zitto hana lake chadema labda akajaribu kwingine kwani ****** anajua Dr.wa ukweli akingiya anatupwa akanyee debe sasa na hana namna ya kukwepa hili ngoja marekebisho ya katiba lazima akanyee debe zitto na chadema ni kama sisimi kwa tembo na ameonyesha namna alivyo na uchu wa madaraka hatumhitaji kiongozi anayejipendekeza mwenye uchu wa madaraka tuna kiongozi mzalendo,mtiifu na asiyekubali kupelekeshwa na kundi lolote kama J.K.
 
Chama Cha Democracia na maendeleo huenda kisifike ktk hali nzuri ya kisiasa mwaka 2015,hii inatokana na hali halis ya
mgogoro uli
ofichika k

wa muda kati ya Zitto na Mbowe sasa umeanza kuonekana waz machon mwa watanzania kupitia vyombo vya habar 'tanzania daima' jana limethbitisha hili kupitia comment ya Zitto ktk mitandao ya jamii TANZANIAN GROUP na JF,sasa huwa nashangaa kuona wafuasi wa Chadema kushabikia migogoro Ya CCM wakati Viongoz wao wanasigana waz waz nanyi hamuwashauri,ninakumbusha endeleen kuishabikia migogoroya CCM ambayo ikichukuliwa hatua au hata kutafutiwa ufumbuzi,siku mnarud kwenu mtakuta ngumi zimetawala.'Mtakosa Maji na Mtoto'

Inawezekana kukawa na ukweli ndani yake. Sisi kama CHADEMA tukae tujichunguze kama kweli kuna migogoro na kama ipo tuitafutie ufumbuzi mapema ili tuimarishe chama. Kwa sasa lazima tuwe makini maana ni wazi inaonekana 2015 CHADEMA inachukua kiti cha Uraisi kwa hiyo lazima vipingamizi na migogoro iwepo ili kutaka kukwamisha safari yetu ya kutawala nchi 2015. Asante kwa taarifa mkuu
 
Kwa vile uhai wa ccm unategemea kifo cha CHADEMA ni sawa kila siku ccm kuuliza CHADEMA kinaemdeleaje, nenda fanya hivi na vile....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom