Chadema kuitisha Maandamano nchi nzima kumuunga mkono Kamanda Lema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,884
32,283
Wakuu JF,

Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.

Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha polisi kumnyanyasa kamanda Lema, mbunge wa Arusha Mjini.

Mipango ya maandalizi inafanywa Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche
 
Kwenye ile thread nyingine (jukwaa la siasa) umeandika unatamani watu wa Arusha wangegoma kwa mwezi mzima ili washindwe kupeleka mahesabu kwa mabosi wao (kama wewe unavyofanyiana mahesabu na Nape), sasa hapa umeleta kuwa CHADEMA wanaandaa maandamano nchi nzima! Na kwa nini usiweke hii thread kwenye jukwaa la siasa? unakimbia nini?
 
Kule kumejaa thread za Lema tu, bahati nzuri mimi siogopi mtu humu JF nakuheshimu unapo niheshimu ukileta dharau mimi naleta kiburi
 
hiyo ndo issue iliyoko hot, au unataka tuongelee baba riz akubali ushoga TZ ili kupewa misaada.......mjini shule!
 
Kule kumejaa thread za Lema tu, bahati nzuri mimi siogopi mtu humu JF nakuheshimu unapo niheshimu ukileta dharau mimi naleta kiburi

kiburi cha kinyago ni hasara ya kinyago chenyewe, na heshima ya kinyago ni kuwa uchi (ref. avater yako)
 
Wakuu JF,

Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.

Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha polisi kumnyanyasa kamanda Lema, mbunge wa Arusha Mjini.

Mipango ya maandalizi inafanywa Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche

Huna haja ya kuwa na jamaa wa karibu na CDM ili kupata taarifa za John Heche. Hii tunaita 'changes on fingers'.
[h=6] John Heche[/h]
  • [h=6]Nimesikitishwa sana na kitendo cha OCD wa arusha kwa kutumia polisi kuongoza hujuma dhidi ya mbunge wa arusha mjini bwana GODBLESS LEMA na chama chetu cha chadema, ukandamizaji kama huu umekua ukifanywa sehemu nyingi za nchi yetu hasa maeneo ya tarime ambapo sio rahisi mwezi ukaisha bila kusikia polisi wameua binadamu kwa risasi kwa kisingizio cha kulinda mgodi wengine wengi wanawekewa kesi za kubambikiza za murder na armed robery bila hata kufanya makosa hayo, sisi Bavicha hatutafumbia macho ukandamizaji wowote dhidi ya wananchi na viongozi wetu, nitakwenda arusha kuhakikisha tunaongoza wananchi kudai haki yao, Hongera LEMA hongera Arusha, haki haiombwi haki inatafutwa na kupiganiwa.[/h]

Wakuu JF,

Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.

Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha polisi kumnyanyasa kamanda Lema, mbunge wa Arusha Mjini.

Mipango ya maandalizi inafanywa Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche
Naona unawashwa masaburi!
 
Jamani huyu ritz shida yake hasa ni nini? ndadhani wana JF na MODS tukifuatilia posts zake humu JF hazina tija wala hazichangii chochote kwenye kuelimishana na kupeana habari, kuna haja gani ya mtu huyu ya kuendelea kuwepo kwenye jamvi? Naamini uhuru wa kutoa mawazo na kutofautiana na wengine lakini mawazo ya mtu yanapokuwa yameganda kwenye nadharia moja tu bila diversity of ideas manufaa yake kwenye jamvi yanakuwa ni hafifu sana na makusudi ya kuwepo forums kama hii yanakuwa hayatimizwi. Nadhani si vibaya mtu kama huyu akitupwa kapuni ili kutoa nafasi kwa watu wengine wenye uelewa na mawazo mapana
 
Kwa hiyo CDM wakichukuwa nchi watu wote watakao wapinga wote mtawanyonga?

Acha Udikteta, ushauri wangu kwako jaribu kufungua Forum yako uchague watu, JF ni Forum huru sio mali ya CDM kama unavyodhani..

Kama wewe upendi michango yangu ipotezee tu, kuna watu wanapenda michango yangu na nimepata marafiki wengi sana humu JF..

Wewe kwani wewe una mchango gani humu JF? Kwanza mimi hata sikujui ndio leo nimekuona, kuna watu wana michango makini humu baadhi yao kama..

Mwanakijiji
Mkandara
Pasco
na wengine wengi wewe nani anakujua, endelea na majungu yako ya kike
 
Wakuu JF,

Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.

Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha polisi kumnyanyasa kamanda Lema, mbunge wa Arusha Mjini.

Mipango ya maandalizi inafanywa Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche

CHADEMA Bwana mi nilidhania maandamano ya kupinga malipo ya dowans kumbe maandamnano kwa ajili ya mwizi wa magari mstaafu,poa lakini,ila issue ya dowans chadema na cuf wamekua kimya mno,yani mnatuachia wanaharakati peke yetu,hii imekaaje wadau hamna mkono wa mtu hapa,maana mafisadi yana mfuko mpana..
 
Cheap popularity!!!
If you are truly Riziwani J.K, then this is not your portion. if you are another being but at least with the 1st degree, you are shaming up the forum of the learned by your desire to always justify the unjustifiable. Shame on you!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom