CHADEMA Kuitikisa Nyanda za Juu Kusini; Safari Kuanza kesho

Mh. Regia uko wapi? Mbona mpaka sasa hii kimya? inamaanahata watu hawajaanza kukusanyika sehemu yatakapoanzia maandamano? to - update tafadhali.
viongozi wakuu wako kufungua matawi ktk chuo cha TEKU,Ktk uwanja wa uhasibu watu ni wengi wanasubiqiwa viongozi 2
 
mm mnaojifanya mnapinga maandamano mnachakachuliwa na mafisadi mbona maandamano yanafaida kubwa?mbona hata waziri mkuu na rais walianza kufuatilia kero za wananchi.maandamano ndio dawa ya chama cha MAGAMBA NA POLISI .PIA WATAWA .HUJUA MATATIZO YA WANANCHI KWA VILE WATU HUFIKISHA UJUMBE KWA WATAWALA KWA VILE HAMNA VIKAO VYA KUTAJA MATATIZO

Mpaka kieleweke, mbona Misri waliandamana wakafanikiwa. Hatudanganyiki.:israel:
 
Heko CHADEMA! kufikia mwaka wa mapinduzi 2014 naamini ccm itakuwa imebakiwa na wenye magamba tuu, walio safi watakuwa wameshaokolewa! CCM hawana lao kwa hili, kateni mbuga mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom