CHADEMA kuimaliza CCM Europe, Chris Lukosi kuanzisha 'Vua gamba vaa gwanda' ugaibuni

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Chama cha demokrasia na maendeleo tawi la London wanapanga kukutana hivi karibuni kupanga mikakati ya kuhakikisha hakubaki hata mwanachama mmoja wa ccm huku ulaya.

Kwa Kufanikisha hivyo, kamati kuu itakutana muda wowote kupanga ziara ambayo itafanywa na mwenyekiti wake CHRIS LUKOSI akiongozana na viongozi wenzake kuzunguka Uingereza yote na halafu pia wataenda nchi zote za ulaya zenye watanzania wengi kuendeleza operesheni vua gamba vaa gwanda ugaibuni.

Habari kamili baadae...
UWEZO WA KUING'OA CCM TUNAO.
NIA YA KUING'OA CCM TUNAYO
NA SABABU ZA KUING'OA CCM TUNAZO!
PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ!
 
upupuuuuuuu...
hivi hakuna mambo muhimu ya kujadili yatakayosaidia kuijenga nchi yetu?
maana kila post chadema chadema
mm sina chama chochote lakini kwa kweli nyie wanachadema mnachafua sana jamvi
yaani mnataka watu waamni kauli za MSEKWA kuwa JF ni mtandao unaomilikiwa na cdm?
acheni post za kishabiki hzo..mnaboa sana nyie
kwa namna hii sisi wananchi tunaona ni chama cha wahuni na wapiga kelele tu
 
Wakuu, kwa uhakika vijana wenzenu hapa nyumbani kwa pamoja tunasema hiyo KAZI NJEMA iendelee kwa nguvu zote kila kona huko Ughaibuni.

Hivi nasi huku juhudi zetu kwa mfano kule Kilombero; USIPIME!!!!!!!!!!!! Pamoja sana wakuu!!!!!!!!!!!!
 
Vipi Mkutano mlioufanya Bar pale jijini London? mbona hamleti pichaa?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Wasisahau nchi zilizokuwa za kisoshalisti ambako kumejaa "vyama rafiki" na CCM. Tembelea Russia, Hungary, Romania, Ujerumani Mashariki, Poland, n.k.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo tawi la London wanapanga kukutana hivi karibuni kupanga mikakati ya kuhakikisha hakubaki hata mwanachama mmoja wa ccm huku ulaya.
Kwa Kufanikisha hivyo, kamati kuu itakutana muda wowote kupanga ziara ambayo itafanywa na mwenyekiti wake CHRIS LUKOSI akiongozana na viongozi wenzake kuzunguka Uingereza yote na halafu pia wataenda nchi zote za ulaya zenye watanzania wengi kuendeleza operesheni vua gamba vaa gwanda ugaibuni.
Habari kamili baadae...
UWEZO WA KUING'OA CCM TUNAO.
NIA YA KUING'OA CCM TUNAYO
NA SABABU ZA KUING'OA CCM TUNAZO!
PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ!

Unataka kufunika aibu iliyomkuta LEMA hapo London siyo? Ukabila, Udini, Umajimbo wanaoueneza hapa Tz umewgharimu sana hapo London kutokana na ukweli kwamba Watanzania waishio hapo London wameathirika sana na sera hizo hizo za chama cha Conservative ambacho ni mshirika Mkubwa wa CDM. Lema aliona aibu ile mbaya, hapa unajaribu kuwadanganya wale ambao hawakufuatilia ziara hiyo ya aibu.
 
upupuuuuuuu...
hivi hakuna mambo muhimu ya kujadili yatakayosaidia kuijenga nchi yetu?
maana kila post chadema chadema
mm sina chama chochote lakini kwa kweli nyie wanachadema mnachafua sana jamvi
yaani mnataka watu waamni kauli za MSEKWA kuwa JF ni mtandao unaomilikiwa na cdm?
acheni post za kishabiki hzo..mnaboa sana nyie
kwa namna hii sisi wananchi tunaona ni chama cha wahuni na wapiga kelele tu

JF ni mtandao usiojali chama chochote cha siasa, unajua kwanini huku mada za CCM huwa hazipo?kwa kuangalia tu kwanza serikali ya CCM ina sehemu nyingi za kusemea (ime-control vyombo vingi vya habari, majeshi, polisi, wakuu wa wilaya) wote hawa kwa namna moja ama nyingine ni sehemu ya chama kwa jinsi wanavyowadhibiti. Wanaobaki wanakuja huku kuzungumza na kutoa kero zao na ndio maana hata serikali inatambua uwepo wa JF kwani mara kibao utasikia wanaponda kwamba wabunge wengi wana depend na info toka Jamii forum.
 
hivi unaweza kuing`oa CCM kwa kukutana kwenye kumbi za starehe.

tehe tehe tehe. Kumbe walikutana Kasino? Nasikia mwandaaji wa sherehe hizo ni mdogo wake na mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa hapa nchini anayetokea kanda ya Kakazini na inasemekana utajiri wa Mwenyekiti huyo unatokana na kumzika mali ya urithi ndogo wake huyo baada ya kuona kwamba hawezi kUsimamia mali hizo kwa sababu ya kujihusisha na USHOGA hapo LONDON. Nilifikiri ni utani kumbe ni kweli, ama kweli ukitaka kujua ukweli wa mambo kuhusu hawa wakubwa kutana na na wanavyuo huko vyuoni, sijui wanayajuaje haya.
 
Unataka kufunika aibu iliyomkuta LEMA hapo London siyo? Ukabila, Udini, Umajimbo wanaoueneza hapa Tz umewgharimu sana hapo London kutokana na ukweli kwamba Watanzania waishio hapo London wameathirika sana na sera hizo hizo za chama cha Conservative ambacho ni mshirika Mkubwa wa CDM. Lema aliona aibu ile mbaya, hapa unajaribu kuwadanganya wale ambao hawakufuatilia ziara hiyo ya aibu.

Nyie subirini kichapo, hivi ulitegemea watu wahuthurie kama wale wa Kilombero? mikakati ndiyo inaanza mtalonga sana
 
upupuuuuuuu...
hivi hakuna mambo muhimu ya kujadili yatakayosaidia kuijenga nchi yetu?
maana kila post chadema chadema
mm sina chama chochote lakini kwa kweli nyie wanachadema mnachafua sana jamvi
yaani mnataka watu waamni kauli za MSEKWA kuwa JF ni mtandao unaomilikiwa na cdm?
acheni post za kishabiki hzo..mnaboa sana nyie
kwa namna hii sisi wananchi tunaona ni chama cha wahuni na wapiga kelele tu
kama vipi hama JF ushauri bure
 
Unataka kufunika aibu iliyomkuta LEMA hapo London siyo? Ukabila, Udini, Umajimbo wanaoueneza hapa Tz umewgharimu sana hapo London kutokana na ukweli kwamba Watanzania waishio hapo London wameathirika sana na sera hizo hizo za chama cha Conservative ambacho ni mshirika Mkubwa wa CDM. Lema aliona aibu ile mbaya, hapa unajaribu kuwadanganya wale ambao hawakufuatilia ziara hiyo ya aibu.

wewe ni mnafiki, na ni mmoja wa watu mliopandikizwa na CCM kuupotosha Umma wa watanzania kwa ujumla, kama kuna mwanaCCM alikuwepo kwenye mkutano mwambie akupe ripoti ya jinsi mkutano ulivyo kuwa, hakukuwa na ukabila, udini wa la umajimbo, ulikuwa ni mkutano wa watu mbalimbali. kwanza naomba ujue kukuzihilishia kuwa wewe ni mjinga na ni mnafiki hivi ulaya kuna ukabila au udini?
 
Ukweli husemwa:

Habari zako nyingi zimejaza uongo na porojo badala ya ukweli. Umekuja tena na thread nyingine ambayo kwa madai yako bado hata habari haijakamilika.

Ni wewe uliyetuambia kuwa Kamanda Godbless Lema atakutana na meya wa London kitu ambacho ulikuwa ni uongo kwa sababu ofisi ya meya wa London ilikanusha na kusema kwenye ratiba ya meya wa London hakuna appointment kama hiyo.

Ni wewe uliyetuambia kuwa Kamanda Godbless Lema yuko kwenye mkutano na mkutano una watu zaidi ya 70 wakati hata mkutano haukuwepo kwa vile ulipangwa kufanyika siku ya jumanne tarehe 07/08/2012.

haraka ya nini kupost thread wakati hata mipango haijakamilika kama unavyosema. Na kwa hii tutaamini vipi tena kama ni ukweli wakati hata habari haijakamilika.
 
Back
Top Bottom