Chadema kuiburuza serikali mahakamani

CCM inayoyoma lakini wanaondoka na mtu dizaini ya mtu anayepelekwa na maji anavyotafuta pakushika. Hata kama jino la mamba. Anashika tu. Haya hiyooooooo
 
Mahakama ipi ya ICC au zetu za ndani? Kama ICC naunga mkono hoja ila kama ni za ndani sijui kama haki itapatikana.



chadema mmechelwa sana kuishitaki serikali tena wanachama wenu wataanzankuogopa KABISA WATU WANAUKUFA MMEKAA KIMYA, KWA VILE PILISI WETU WAMESHINDWA KUWAKATAMA HATA WALIOWAKATA MAPANGA WABUNGE WENU,

MSICHELEWE TENA PELEKINI KESI THE HAUGU MAHAKAMA YA ICCM MSHITAKINI IGP MWEMA KWA KUANZIA

IGP MWEMA NA KESI YA KUJIBU,


(MAUAJI ARUSHA SONGEA, WABUNGE KUKATWA MAPANGA MAUAJI ARUMERU, ARUSHA NK, FANYENI HRAKA VINGINEVYO VIONGOZI FANYENI TAKAFAKRI KAMA MNAFAA KUWEPO AU LA!!
 
Back
Top Bottom