Chadema kuibua ushahidi mpya wa Nape kuhamia CCJ

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
WanaJF:

Hii habari nimeipata kutoka ndani kabisa kutoka CDM, kwamba wqakati wowote kuanzia sasa chama hicho kitatoa ushahidi mpya usiopingika wa kuon yesha kwamba Nape alikubali kujiunga na CCJ mwezi April mwaka 2010.
 
Nadhani hii itakuwa ni waste of time and resources kwa Chama pinzani kuanza kuumbuana na kupotezeana muda na an Individual.. (kuna issue muhimu za kufatilia, kujenga chama na kuibua madudu ya chama tawala na kukisimamia).

Haya mambo ya kuleta ushahidi wa nini kilifanyika wangeachiwa wenye magazeti, vyombo vya habari n.k. (na kama Chadema wana evidence waipeleke huko)
 
Wapeni wananchi ushahidi wa jinsi mzee Mwinyi na Kikwete walivyohusika na mkataba mbovu wa IPTL. Wapeni pia ushahidi wa Lowasa alivyotumia vibaya cheo chake kushinikiza zabuni ya mradi mkubwa wa kufua umeme kwenda kampuni hewa ya richmond. Hilo ndilo hitaji letu kwani Nape kuhamia chama chochote haliwezi kuwa kosa, na wala haina madhara yoyote kwa wananchi.
 
Nape ana kelele sana kuhusu Chadema hilo nalo muhimu. Utawaambiaje wananchi habari za EPA na Richmond wakati Nape anawaambia msiwasikilize Chadema? Kudeal na Nape si kupoteza muda ni kuondoa vizingiti vya njiani ili tufanye hayo unayosema wewe.
 
Tupeni ushahidi wa kuonyesha Balali yuko hai, na EPA ilikuwa ni mpango wa kutengeneza pesa ya kumuingiza Ikulu JK, Nape si lolote yupo yeye na babu zake wa CCM mwacheni tu.
 
Nape ana kelele sana kuhusu Chadema hilo nalo muhimu. Utawaambiaje wananchi habari za EPA na Richmond wakati Nape anawaambia msiwasikilize Chadema? Kudeal na Nape si kupoteza muda ni kuondoa vizingiti vya njiani ili tufanye hayo unayosema wewe.

Na huo ndo ulevi wa madaraka sasa......unabisha hata kwenye ukweli.....akisema msisikilizwe ndo kweli na masikio hayatasikia au ubongo hautafanyakazi ya kuchambua uhalisia?????????

Mkishatoa huo ushahidi bei ya sukari itashuka????
Au mashimo barabarani yatapungua???
Dawa zitajaa mahospitalini????
Who the hell is interested with utashi wa mtu binafsi na chama anachokitaka???

Kama wewe ni sehemu ya mkakati huo waambie na wenzako we are matured and we know the best for us.......jengeni hoja bana we are sick and tired na majina majina majina majina kila kukicha aaaargh..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom