Chadema kufungua tawi UDOM

baada ya uzinduzi wa tawi wana ccm waogopo wesema mziki wa chadema unatisha mkuu wa mkoo atuma wapelezi waogopa uma watu waanza kuchonga mabango kwa ajili ya tarehe kumi na sita kupinga mswada lema asema ataitisha maandamano makubwa dodoma mpaka makinda atamsapoti wananchi wa dodoma wasema kuwa kama maandamano yataongozwa na lema watahuzuria kwa wingi wanchi wasema kuwa kikwetwe lazima aitwe na ocamp kwa vile mauaji yatakua makubwa pia wasema hata polisi watakuaa wakimbizi wa tanzani pia mabongo mbalimbali yaliwastua wapelezi wakaondoka taratibu huku wakisema lema hatanii kweli pamoja na wanachuo kutishwa na msekela wanaunga harakati baada ya hapo regia alisema kuwa 2015 kura lazima zilinde wanahakati walikua wanawaponda wanafiki wakisema kuwa hawana mpango kikwete hagawi ukuu wa mkoa bure wala wilaya huku wakiwataja wauza kadi za ccm waliomaliza chuo huku wananchi wakisema wapo mtaani hawatamiki waliotajwa majina ni malimi,sabuni ,hawa walishaa wahi kuwa maraisi wa chuo cha dodoma kabla ya uzinduzi baadhi ya malecture walitaka kuwapima wanafunzi kwa kuanza kupitisha magari eneo hilo wanafunzi walianza kusema wapisheni wasije wakaleta nuksi..........................
 
Soon we will be on the climax of changes,kuna watu bado wanahangaika kuzuia mabadiliko yasitokee lakini hawataweza,lets fight for the best changes!
 
baada ya uzinduzi wa tawi wana ccm waogopo wesema mziki wa chadema unatisha mkuu wa mkoo atuma wapelezi waogopa uma watu waanza kuchonga mabango kwa ajili ya tarehe kumi na sita kupinga mswada lema asema ataitisha maandamano makubwa dodoma mpaka makinda atamsapoti wananchi wa dodoma wasema kuwa kama maandamano yataongozwa na lema watahuzuria kwa wingi wanchi wasema kuwa kikwetwe lazima aitwe na ocamp kwa vile mauaji yatakua makubwa pia wasema hata polisi watakuaa wakimbizi wa tanzani pia mabongo mbalimbali yaliwastua wapelezi wakaondoka taratibu huku wakisema lema hatanii kweli pamoja na wanachuo kutishwa na msekela wanaunga harakati baada ya hapo regia alisema kuwa 2015 kura lazima zilinde wanahakati walikua wanawaponda wanafiki wakisema kuwa hawana mpango kikwete hagawi ukuu wa mkoa bure wala wilaya huku wakiwataja wauza kadi za ccm waliomaliza chuo huku wananchi wakisema wapo mtaani hawatamiki waliotajwa majina ni malimi,sabuni ,hawa walishaa wahi kuwa maraisi wa chuo cha dodoma kabla ya uzinduzi baadhi ya malecture walitaka kuwapima wanafunzi kwa kuanza kupitisha magari eneo hilo wanafunzi walianza kusema wapisheni wasije wakaleta nuksi..........................
pumba tupu,we kweli ni msomi wa chuo kikuu?
 
Back
Top Bottom