Chadema kufungua matawi China

CHADEMA mnafanya vizuri sana kwa kujitahidi kuwafikishia ujumbe kila kona ya dunia kwa wakati mmoja. I like your strategy of working simultaneously involving the domestic population and the diaspora concurrently. BRAVO!!!!!!!!!!!
 
Aiseee baba yangu ngoja nijipogeze na mbege dumu lita 10 nafuraie lema kuvuka boda,, magamba nao wataiga


yewiiiiiiiiiiiiiii leta mbe leta mbege kweli
 
Mi nashangaa vyama vya ccm na chadema kushindana kufungua matawi nje ya nchi.Je wana uhakika gani hao wanachama wa nje watakuja kuwapigia kura wakati wa uchaguzi?ni vizuri wangejiimarisha kwanza hapa nchini kabla ya kukimbilia nje ya nchi kwani wanaopiga kura wako hapahapa na ndio wanaelewa hali halisi watu wa nje wanaweza kupata habari tu kwamba sasa hivi kuko hivi lakini shida na raha wanazijua walioko nchini.
Sasa hivi kuna wapiga kura wengi wanauza shahada zao wakati wa uchaguzi,wengine hawaendi kabisa kupiga kura na wengine hawajui hata umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura wangewekeza kwa watu hao wangepata mafanikio makubwa zaidi badala ya kupeleka nguvu nyingi nje ya nchi.
Watu wa vijijini bado wanapiga kura kwa mazoea hivyo ni jukumu lao kuwaelewesha ukweli kuwa tuko katika mfumo wa vyama vingi na sasa hivi wanatakiwa kuchagua watu wanaoweza kuwasaidia na kuondokana na adha za kukopwa mazao yao,kunyang'anywa ardhi yao kutozwa ushuru wa mazao na manyanyasho mengine mengi.
Naelewa vyama vinahitaji kujipanua vikubalike kitaifa na kimataifa lakini siyo kwa stahili hiyo wanayofanya
 
Back
Top Bottom