CHADEMA Kufanya mkutano mkubwa wa operation sangara leo hapa ifakara

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,974
13,614
Baada ya zengwe walilowekewa na polisi pale morogoro,na kuwazuiwa kufanya mikutano ya hadhara, leo chadema watafanya mkutano wa kufa mtu hapa mjini ifakara. Kwa mujibu wa radio pambazuko na vipeperushi, operation sangara maalum ya kukipanga chama tayari kukabidhiwa dola inazinduliwa leo 8/8/2012. Viongozi wote wa kitaifa ,kamanda Freeman Mbowe, mpiganaji Dr Wilbrod Slaa,makamu mwenyekiti Said Afri,mbunge wa kigoma kaskazini Zitto kabwe, J.J Mnyika na mwanasheria Mabere Marando wote watakuwepo. Pia wabunge wote wa cdm watakuwepo. Mkutano utafanyika viwanja vya polisi maarufu kama kiungani. Mapokezi ni pale kibaoni saa 7:00 mchana, yakifatiwa na maandamano kuelekea viwanjani. Mkutano utaanza saa 8:30. ITV, STAR TV na Chanel ten watakuwepo. Ntakuwa up 2 date. Kwa sasa ni mzuka pikipiki zinapita mitaani zikipeperusha bendera za cdm.
 
Cdm hoyeeeeeee,itv wataonesha live nisogee karibu na tv?
 
Big up sana makamanda. Kuna msemo unasema haki hainyang'anywi sema tu wataichelewesha.

Wiki iliyopita walizuia maandamano na mikutano ya CHADEMA yakowapi ss leo yatafanyika. So waliyachelewesha tu ila kuyazuia hawayawezi.

Nawasilisha jamani ni hayo tu.
 
Mtakao kuwepo hakikisheni mnachukua pichana na kutua update kitakachokuwa kinaendelea, msije mkapotea...
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzz!!!!!!!, powerrrrrrrrrrrrrrrr!!!! Kanyaga twende makamanda, haya ndo tunayotaka watanzania tuliochoshwa na sarakasi za magamba. Mpaka kieleweke majemedari.
 
Kazi ni moja 2 ni kuhakikisha ccm inakufa kifo cha mende, ccm HAIKUBALIKI
 
Aminia makamanda wa Ifakara Kilombero kwa kupata heshima ya kuzindua Operation Sangara mkoani Morogoro siku ya leo.

Kazi ni moja tu kujipanga kisawa sawa hadi sanje, mang'ula hadi ziginali. Msolwa hadi mbingu, kwa kalembwani hadi mngeta!
 
natamani ningekuwepo nyumbani aisee, m4c imetupa heshima kubwaa sana watu wa ifodha, safi sana
 
Wakuu mzuka! Namwona kamanda lwakatare x cuf pm, vijani ni wengi kwelikweli.
 
Viongozi ambao wameshawasili hapa kibaoni pamoja na kamanda Lwakatare yupo mh "SUGU" . Nimeongea na m1 wa viongozi wa cdm wilaya ameniambia dr Slaa hupo hapa tangu saa 4 asbh akitokea mang'ula. Msafara wa viongozi wangine upo njiani. Yaani najifeel better sana.
 
Pamoja kaka!! Ni imani yangu tamko rasmi la chama kikuu cha upinzani kuhusiana na mgogoro wa Malawi litatolewa na watanzania wataweza kulijua msimamo halisi wa nchi yao kuhusu jambo hilo kwani ndiyo chama wanachokiamini.
 
Mkuu mshawishini Remja Mtema, aje kwenye hizo harakati, ili amuenzi pacha wake vizuri..
 
Viongozi ambao wameshawasili hapa kibaoni pamoja na kamanda Lwakatare yupo mh "SUGU" . Nimeongea na m1 wa viongozi wa cdm wilaya ameniambia dr Slaa hupo hapa tangu saa 4 asbh akitokea mang'ula. Msafara wa viongozi wangine upo njiani. Yaani najifeel better sana.
Tuna kusoma kamanda endelea kutujuza...usisahau picha
 
Back
Top Bottom