CHADEMA kuchukuliwa hatua kali na Serikali kwa rafu zake - Wassira!

Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!

Huyu mzee si wa kuupuuza hata kidogo, kuna kitu kinakuja lakini hajawa muwazi kukisema moja kwa moja, binafsi kama ulivyoelezea mauaji yote haya yanayofanywa yaelekea ni mkakati uliopangwa in a harsh and panic way ambao lengo lake ndio hiyo aliyoisema huyu mzee,

Wanachokitafuta na kilichobakia sasa hivi ni ku fix connection fake itakayohusisha moja kwa moja CDM na mauaji haya, msishangae siku moja akajitokeza mtu aliyelipwa mifedha na hawa akina Wassira akasema alifanya mauaji fulani mahali fulani kwani alitumwa na kulipwa na CDM au Dr Slaa,

Kamwe CDM wasifikiri CCM itaondoka madarakani hivi hivi kwani tayari walishasema watatawala milele, Naomba tu CDM wawe waangalifu sana na move zao wasije wakadondokea kwenye mitego yao ya kizamani

Ila jamani ukweli sasa hivi CCM hana amani kabisa na CDM kwani hali halisi ya watu kutoka usingizini nao wanaona
 
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!

Hapo kwenye blue, naona labda Wassira angeanza na wale jamaa waliotishiana kwa bastola kule Nzega (wakirudisha fomu za ujumbe wa nec-ccm), maana kama wenyewe kwa wenyewe wanatoleana bastola, basi hapo hakuna amani na utulivu.
 
Cha ajabu ni kwamba chadema wanafanyiwa fujo zote hizi na wananchi kuuawa..lakini Zitto Kabwe amekaa kimya hasemi chochote...wenzake wanafanyiwa fujo na polisi yeye kimya anakula shushu tu alafu 2015 anataka agombee urais...in his dreams!!
 
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!
Huyu mzee kanyimwa kila kitu kinachotakiwa kumpendezesha binadamu mwingine sijui tumuweke kundi lipi.
 
ameshashtukia moto wa chadema wakienda jimboni kwake watazoa wapiga kura wake wote
na hana uhakika tena wa kuwa bungeni 2015
madaraka matamu jamani ikiwezekana hata kuloga au kutoa kafara ili kubakia madarakani.
RIP CCM 2015
 
wasira anausingizi?kwani chadema wanavunja sheria gani moaka serkali iwachukulie hatua???
hajui kuwa ni haki ya kila chama kufanya mikutano kwa kipindi inachoona kinafaa,
na zaidi ni haki ya msingi kufanya maandamano.
 
Wassira anashinda magogoni tu saizi jimboni kwake hakuendeki kabisa!!!!!!!!!!!!!!
 
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!
Magazeti mengine bwana, hivi kuna haja ya kuweka up.....uu...zi wa huyu kubwa jinga front page? Kauli na mawazo ya huyu nyara ya taifa, haina tofauti na wale wa hifadhi ya Gombe. Ndio maana jamaa mmoja alisema wanafikiri kwa visea.
 
Huyu babu keshazeeka vibaya...Wassira ana tofauti nyingi sana na wazee wenzake mojawapo ni kwamba yeye ni Kiropoko anaongeoa kila rubbish inayokuja kichwan bila kufikiri akisapotiwa mawazo mgando. Kiufupi anaishi kwa mazoea tu ilimradi nae aonekane yupo.... You are done worthless Mzee.....!
 
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!
Dhamira ya chadema ni kuua kwa kuichafua serikali, sasa naona yanawageukia mnaona eeeeh, siku zote muosha huoshwa ba baa, hizo dhamira zenu, ndo kaburi lenu kama hamjui.
 
Nimeamini kuwa M4C imekuja ktk wakati sahihi, mahali sahii na kwa watu sahihi....

M4C forever...........................!
 
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na Utulivu wa taifa tuliokua nao tangu awali.

My take: haya mauaji yanayofanyika mara kwa mara yanaweza yakawa na mkono wa serikali, yaweza kuwa mkakati wa kukichafua CDM na kufanya kionekane tofauti mbele ya wananchi. Na hii ni baada ya fitina za Udini na Ukabila kushindwa!

Rafu zenu za udini hamzioni?
 
nzenzu, lazima iringa makambako nimekosea, tema mtaa mjimwema makula mangula ndiko umetoa hili jina haha kha ha ha ha ha da mbalisana nzenzu. magamba washaula chali kali da!
 
Back
Top Bottom