CHADEMA kuchukua nchi VS Zanzibar kujitenga na kuwa huru

zanzibar huru

JF-Expert Member
May 28, 2012
218
108
CCM sasa hivi wako between a rock and hard place sasa sijajua ipi itakuwa rahisi kwao ku swallow kati ya options hizo mbili
 
CCM sasa hivi wako between a rock and hard place sasa sijajua ipi itakuwa rahisi kwao ku swallow kati ya options hizo mbili

Kuna uhusiano gani kati CDM kuchukua nchi na Zanzibar kujitenga? Una maana CDM watachukua Tanganyika? Chadema wao wana sera gani na Muungano?
 
Kuna uhusiano gani kati CDM kuchukua nchi na Zanzibar kujitenga? Una maana CDM watachukua Tanganyika? Chadema wao wana sera gani na Muungano?

Chadema hawana muda na jambo ambalo ni muflis

wao nchi wanayo inaitwa Tanganyika ina watu milioni 44 ya nini ku deal na kisiwa kidogo kama zenji?

Tatizo la zenji ni pet project ya CCM ambayo imekuwa ikunadi kama political capital

sasa sijui ipi itawauma magamba zeji kuwa huru au kupoteza Tanganyika
 
zanzibar ni nchi na tanganyika inahitaji kuwa nchi na kama ni muungano kama utahitajika uwe na maslahi kwa pande zote.
msimamo wa chadema unafahamika.
kuna muungano wa ccm na cuf huo chadema hawauingilii kwa sababu ni wa kisiasa lakini tukirudi kwenye uchumi na utamaduni hakuna muungano bali ni kulazimishana kubeba mtoto utukutu na mgongoni kapanda na viwembe.
muda ukifika utaongea.
 
Back
Top Bottom