Chadema kuchukua jimbo la sumbawanga mjini

Kankwale

Senior Member
Apr 5, 2012
131
20
Rufaa ya mbunge wa Sumbawanga Mjini Mh.Hiraly kupitia chama cha CCM imetupiliwa mbali na mahakama kuu hivyo ni nafasi nzuri kwa chama cha M4C kujipanga kuchukua jimbo hilo.
:canada:
 
Rufaa ya mbunge wa Sumbawanga Mjini Mh.Hiraly kupitia chama cha CCM imetupiliwa mbali na mahakama kuu hivyo ni nafasi nzuri kwa chama cha M4C kujipanga kuchukua jimbo hilo.
:canada:

Hakuna wa kuzuia mapinduzi, CDM songa mbele
 
Mkuu ondoa shaka!CHADEMA ni natural disaster,hakuna mwenye uwezo wa kuzuia nguvu yake!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom