CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
Katiba sio tatizo tatizo ni kufanya hoja hii kuwa ya chama furahi ndo mwanzo wa kutuvurunga
 
Najua ili genge linatumwa na lowasa unafikiri ndo gia ya kumsaidia kumbe aliyoyafanya kwenye katiba iliyopita
 
Afadhali CHADEMA wadai katiba mpya kwa maana watumishi wa umma tumechoshwa na uhakiki wa kila uchao utadhani sisi ndo tunaifanya nchi kuwa maskini.
 
Na mchakato ukianza wanajichetua.

Hizo pesa si bora ziende kwenye mpango wa 50M kwa kila kijiji tu.
 
Afadhali CHADEMA wadai katiba mpya kwa maana watumishi wa umma tumechoshwa na uhakiki wa kila uchao utadhani sisi ndo tunaifanya nchi kuwa maskini.
Wenye vyeti feki utawaona tu likisha anza zoezi la uhakiki. Wakati wenzio wanasoma wewe ulikuwa ktk maandamano, unaona hasara zake, huna cheti.
 
Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
mbowe anastaafu lini uenyekiti?
 
Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
CDM lengo lao ni Urais tu hamna mpango wa Katiba wala nini! Wasingekimbia Bungeni wakati wa mjadala wa Katiba Mpya mwaka 2014 na kwenda mnadani kama wangekuwa na dhamira hiyo!! Shtukeni jamani mnadanganywaaaaaaa!!
 
wewe ndugu nakuonea huruma maana suala la katiba mpya linakuhusu hata WEWE ikiwa CDM wameona vema kupigania basi Mwenyezi Mungu yupo atabariki uaminifu.

lakini wewe unafanya kana kwamba KATIBA MPYA ni suala la UPINZANI tu, hii katiba ya sasa hivi inayolinda wachache itakuumiza hata WEWE mwananchi unayeleta ushabiki wa kisiasa usiokuwa na manufaa kwa nchi yetu. labda kama wewe ni mmoja wa hao wachache wanaolindwa na hii katiba ya sasa lakini kama wewe ni "msakatonge" basi nakushauri achana siasa UCHWARA zinduka akili!
 
Back
Top Bottom