Chadema kuanguka chali

Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

Time will tell.... That's what I understand and believe....
 
kuna watu wana muda sana wa kuandika pumba. chadema kina watu makini kinazidi kupanda chart. mtu ambaye bado yupo ccm namwona kama taahira
 
Mimi nakuona jamaa yangu kuongelea habari za Salimu ni kama umekosa point ya kuleta hapa. Bora ukapumzike upate hoja mpya
 
Mbona jamaa hajasema sababu au chadema itaanguka kivipi. Habari haina mashiko:msela:
 
"... kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima..."

-Wewe bado una amini maneno ya Makamba, amekivuruga Chama mpaka mimi nikatimua mbio, japo sija amua nijiunge chama gani!
-CCM haifuati itikadi wala mwenendo wa Baba wa Taifa bali inafuata itikadi na mwenendo wa Rostam Azizi.
-JK Nyerere hajaifikisha nchi hapa ilipo, msimsingizie Hayati Muadilifu, nchi imefikishwa hapa na mawakala wa Mafisadi!
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

pumba !!!
 
in this world there are two things that exist which are facts and opinions....what i see on Ur argument is Ur own opinions that can not even hold water and not facts that can convince the pool of intellectuals....u are even going against with ur lovely chairperson Mr.Kikwete who admitted yesterday that CHADEMA is a threat to ccm....talk fact if at all u love ur country....
l:msela:
 
sorry kama nita offend mtu, huyu jamaa anayesema CHADEMA ni chama kilichojaa Ukabila, hizi allegation ni baseless, he should go back to school and learn more on how to spread propaganda like an intellectual, not like a NINNY. Sikubaliani naye anaposema kuwa CHADEMA itaanguka, inabidi asubiri yeye siku yake ataanguka chali wakati ISRAEL atachukuwa ROHO yake. if you talk ill of CHADEMA, i real feel like vomiting, CHADEMA is our MIRROR AS IT REFLECT ALL EVILS DONE BY MAFISADI, why talk ill of it unless wewe ni FISADI, that is why you fear being reflected by THE PEOPLE'S CHOICE CHADEMA.
 
Katika mtoa mada hampati mtuu; hakuna mtanzania anayeweza kukubali propaganda za kishenzi: hao ambao hawana ukabila na udini ni Miaka 34 sasa wananchi wanaishi chini ya dola moja; na wengine wanalalia ngozi kiasi kwamba magodoro dodoma kwao ni mwiko. Thubuthuuu; tutapambana mpaka m::. Hii ni ya Vijana wenye machungu na maendeleo enzi za wazee zimekwisha.wisho
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

ENDELEA KUTUMIA HAKI YAKO YA MSINGI YA "kuongeaongea"!!!!
labda siku moja utaamka na points za maana!
 
Wishful and cheap thinking. Sikuwa nikifahamu kuwa huyu mtu anayejiita mwiba ni mpuuzi kiasi hiki. Kwa kuanzia tu CCM ya sasa si ile ya Nyerere iliyoliletea heshima kubwa Taifa letu na kutufanya tujulikane ulimwenguni bali hii ya sasa ni ya vibaka, wezi, matapeli na majambazi. Ukweli huo ndiyo unaoifuta dhana ya ati CCM ni ya Mwalimu Nyerere, bali watanzania wote sasa tunafahamu kwamba CCM ya Nyerere ilishatekwa nyara, tena kabla hata ya kifo chake kwa Azimio la Zanzibar.
Nasema kama Nyerere angekuwa hai leo hii kamwe asingebaki ndani ya chama hiki kilichotafunwa na kansa ya ubaguzi, wizi, na kila aina ya uhalifu.
Pili ubabe unyanyasaji na ubaguzi anaouzungumzia mwiba upo zaidi ndani ya CCM kuliko Chadema. Ni nini basi kama si ubabe na udikteta kwa mtu kuongoza kura za maoni, kuwekwa pembeni na kuteuliwa wa nne ili kugombea nafasi fulani bila hata ya kumwarifu sababu za kumwengua? Si CCM ndiyo kinara wa ubaguzi, fitna na ubabe walipowanyima wanachama wao haki yao ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua kwa visingizio vya "Si Raia halali" wakati wamekuwa na watu haohao wakilitumikia taifa na chama chao miaka nenda rudi? Kutokana na sera za ubabe, fitna na ubaguzi Tanzania ilinyimwa fursa ya kumpata mtu ambaye angeliletea maendeleo makubwa taifa hili badala ya garasa hili tulilolilamba.
Kuhusu kumsimamisha Salim kugombea urais 2015 ni kichekesho na kutapatapa. Kwani ni lini mlimsafisha? Si mlituambia hadharani kwamba yeye si mtanzania halisi bali ni mwarabu na ati wazazi wake walizikwa Oman? Vipi mmeyahamishia maziara yao hapa nchini? Mnadhani yeye ni mjinga kama nyinyi kukubali kudhalilishwa tena kama ile 2005? Ni lini mlimwomba radhi? Mimi nasema hali ilivyo sasa hata kama CCM watamsimamisha nani kifo chao hakizuiliki kwani watanzania wa sasa hawadanganyiki tena. Ni vigumu kuwashawishi watu wa kizazi hiki waendelee kukichagua chama kilichogandamiza maendeleo ya nchi hii kiasi cha kutimiza miaka 50 ya kujitawala tukiwa gizani, wananchi wakitegemea bidhaa zote toka nje ya nchi, yaani wameuziana viwanda vyote walivyoachiwa na Nyerere wanayejifanya kumheshimu na sasa tunaishi kwa kuagiza kuanzia mashine hadi pini za kutolea funza. Ni nani basi katika kizazi hiki kipya atakuwa tayari kuwachagua watu waliotufikisha hapa; kuishi kwa kutegemea chupi na sidiria za mitumba?
Time will tell. Shame to Kikwete, CCM and its rotten leadership.
CHADEMA - PEOPLES POWER.
 
Ndoto za fisi kuombea mkono wa binadamu uanguke, Eti CCM inafuata misingi ya Baba wa Taifa, hapo tu umeshajichanganya kwa sababu hata Riz1 anajua kuwa babake anaongoza CCM iliyopinda. Pole bwan Mwiba na Uzanzibari wako
 
Unaweka facts ikiwa kama unazungumzia Chama chenye kuonyesha uzalendo ,lakini hawa jamaa ni wajuaji kuliko unavyowafahamu ,na hizo facts za kuziangalia zipo tele ,kwa uchache angalia madai yao pale bungeni na yale majina yao waliyoyataja ya mafisadi kwenye majukwaa ya mikutano ni kupoteza wakati wa wananchi, jiulize madai yao yamefikia wapi ? Hawa huwaamsha wezi tu hio ndio kazi yao ,yaani wao ni kama indicators ,wabunifu wao CCM(CDM ni mtoto wa CCM) ,CCM waliiunda CDM kuwa chama mbadala au chama cha kuusambaratisha umma wa Taifa hili kama tuonavyo ,wezi wanapeta ,mafisadi wanatetewa na haohao Chadema ,si unamuona yule wanaemuta Zitto msaliti.

MWIBB! Japo sina chama, lakini kwa statement yako hapo juu moja kwa moja wajitambulisha wewe ni nani: 1. Mzanzibar 2. M-CUF. Badilika ndugu yangu na sio vizuri kueneza propaganda za uzushi! Yatakapokuja kugeuka sijui kama utatoka kwenye hiyo Avatar yako unakopiga chabo!!!!!
 
inaongelewa hoja ingine unaleta utumbo, mseto wa cuf na ccm unahusika nanini hapa ktk mada hii?roho zitawauma sana mwaka huu,wazenj wanaenda mbele nyie kazi malumbano tu.

Hapo kwenye red: kwanza utumbo ni chakula safi. Ukweli unauma. muungano wa CUF na CCM wangependa kuona CDM inakufa. Mawazo yenu finyu mno. CDM inadunda na mkiendelea na ufinyu wa mawaza, CDM itaingia ikulu Zanzibar.
 
Back
Top Bottom