Chadema kuanguka chali

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.
 
asubuhi-subuhi tu...........

Mashuzi!!!!!
 
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa C

Crap
 
Ubabe upi?
Wa Richmond, Dowans, Kagoda, IPTL, RADA, Muafaka wa vyama viwili kati ya vingi, hebu tueleze. CUF ni upinzani au chama Twawala.
 
Mkuu with respect huwezi kusema maneno yako bila kuleta facts, ni vizuri ungeweka grounds ambazo zingetusaidia kuweza kuijadili mada kwa marefu na mapana.
 
msema kweli mpenzi wa mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa ccm ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa taifa hayati mwalimu julius kambarage nyerere ,mzalendo alieiwezesha tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
Watanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha chadema ,ccm ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa chadema safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na salim ahmed wa ccm.

crap!!
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

kumbe habari imetoka kwa mwana CCM ....basi habari hii ni propaganda
 
Unajua bila kuwa na watu katuni kama Mwiba duniani kungekuwa kuna-bore sana.....
 
Here we go again, a die hard CUF member predicting a major opposition party extinction and guess where is he reliably informed from?????? CCM... too low bro Mwiba!!!!!
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

Heshima kwako Mwiba.

Mkuu hoja ujibiwa kwa hoja bahati mbaya sioni hoja ya kukujibu.Kwanza nijitambulishe kwako kwamba mimi si mwanachama wa chama chochote za siasa ukitaka sababu kwanini si mwanachama wa chama chochote nitakupa sababu kibao.

Mkuu kwanza niseme ukweli siamini kama itatokea tena Mzanzibar kutawala Tanzania.Mazingira yamebadilika sana Zanzibar ya leo ni nchi kamali si sehemu ya JMT mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yanazidi kuondoa uwezekano wa mzanzibar kutawala Tanzania.Zanzibar ilikuwa na nafasi ya kutoa rai wa JMT mwaka 2005 lakini ni wazanzibar wenyewe walio piga kampeni za kumpaka matope ya kipuuzi mpaka akaangukia pua,muda umeshapita sana Salimu A salim hana nafasi labda miujiza itokee.
 
Je huyo Salim hatapigwa madongo hukohuko CCM na kubwagwa kama ilivyokuwa 2005? Au mara hii historia yake ya HIZBU imemezwa na mwafaka wa CCM na CUF?
 
Light trvels faster than sound. This is why CDM appear bright until you hear us speak. Nimeipenda hiyo
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

majani
 
Nani aliwaambia kama Salimu Ahamed ni Mzanzibari ? Wacheni uvivu tafuteni ,kuhusu kuanguka kwa Chadema hilo wandugu halina ubishi .CDM 2015 inakwenda na maji ,sawaswaa !

Jingine hivi niwaulize nyinyi na tarehe zenu ni lini Mzanzibari aliwahi kushika nafasi ya Uraisi wa JMT ??? Sasa niwasikiapo wengine wanaosema Wazanzibari tusahau kuupata uongozi wa juu wa SMT naona mtakuwa mna viherehere hamjui mnenalo!
 
Back
Top Bottom