CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

Andika "AWAMU YA 4 MAAFA TU, MGAWO WA UMEME, USANII WA DOWANS, BEI JUU, UKATA. Lingine TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA ZIMESHINDWA KUMKAMATA MHUJUMU UCHUMI WA DOWANS au MMILIKI WA DOWANS SIO AL ADAWI USANII MTUPU
 
Ndg Quinine, jina lako limenikumbusha Malaria Sugu! Hivi kapoteza maisha nini? Mbona simsikii huyu ndg yangu mpendwa? Inamaana hakuwa anakunywa Quinine?
Pamoja sana mkuu!
Mbona yupo sana anajitokeza kwa majina tofauti, siku nikimuona nitamwita jina kwa sauti ili kila mtu asikie nafikiri umenielewa.
 
Unaona sasa, kuongea humu ndani ni rahisi kuliko kutenda! Jamaa wanaambiwa maandamano kesho wanaanza kusema ooh kila la kheri, mara oooh pamoja sana! Upuuzi mtupu. Msikae kudanganyana humu mtapotezana bure. Na tuone huyo wa kwanza kesho kati yenu kutoa pua pale. Mnawasakizia wamachinga tu nyie mna tai shingoni. Utumbo plus!!

Me hayo kwamba wengine wanaenda au vip sijui,mm naenda.Ntatoa taarifa if i'm alive o not na kinachoendelea.
 
greatthinkers;

kwanza ifahamike kwamba dr. Slaa huwa hafanyi mambo kwa kubabaisha,ukweli ni kuwa kibali kipo tayari.

Najua watu wengi wanatamani waruke waje mwanza ila unaweza kushiriki japo kwa kutoa maoni juu nini kiandikwe ktk mabango kesho.

Sentensi iwe fupi ujumbe uwe wa kiingereza au kiswahili. Unaobeba hisia na machungu ya watanzania.

Kwa wale wanaotoka hapa mwanza hitimisho la maandamano itakuwa uwanja wa furahisha.

Nchi tajiri, wananeemeka watoto wa akina fulani, wengine tubaki kuwa vijakazi wao.
:rain:no way!:a s 13:

"kupanda gharama za maisha, serikali mnatukomoa?
 
hoja dhaifu haina mashiko.......

Una uhakika? niko hapa Jijini na ntashiriki demo kama kawida,what i mean ni kwamba wapembe wetu wa CDM wanafanyiwa kila hila ili waone chama hakiwasaidii au kinashiriki.Kumbuka Meya wetu Manyerere,wanasema eti ndiyo anaagiza polisi na migambo kubugudhi Wananchi!
 
mmekalia peoples power badala ya kwenda kusoma..aaagghhrr, si ajabu ya kina Lema ya Sky over
Mimi nimeshauelewa uwezo wako wa akili Ulivyo wa kiwango cha juu mkuu, hoja yako ni ya msingi kabisa. Mawazo yako na uelewa wako ni wachache sana wamefikia kiwango hicho. Mfano kwa uchache ni mhe. Makamba, viwango vyenu viko level moja
 
Mwanafunzi wa chuo anapata laki150 kwa mwezi, aafu wafanyakazi laki135 kwa mwezi, hii serikali inatumia akili au matope. Au what are the packages of a salary of 135000 per month?
 
Kabla hamjahamasisha na kuchangia maandamano ya Mwanza.Je mmeuliza kama utaratibu umefuatwa wa maandamano?.Kama kuna mtu ana taarifa za utaratibu uliotumika kuomba kibali atume hapa tushirikishane.
Nawasilisha.
 
Andika, DOWANS WALIPWE BILIONI 94, WABUNGE WAMEKOPESHWA MILLIONI 90 KILA MMOJA KUNUNUA MAGARI, MWANANCHI ANAPATA NINI?wakati maji shida, umeme shida, nauli juu, bei ya bidhaa juu!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom