Zed
JF-Expert Member
- Mar 28, 2009
- 434
- 252
Nini maana yake :confused3:
Usijali maana yake ! Ama kweli leo karibu nivunjke mbavu... nimesoma kijerumani cha ugoko... lugha yenyewe mtu haijui lakini anaandika. Hata kiingereza cha sekondari ya kata ni kizuri kuliko hicho kilichoandikwa kwa kijerumani