Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkiandamana tu wakati mnajikusanya Cuf tunawaambia kuwa tunapitisha helkopta na kukomba watu wote na maandamano yanafia hapo hapo.
Waacheni waandamane, ni moja kati ya ilani ya uchaguzi 2010 sasa lazima watekeleze kwa vitendo. Laikini na wao watambue iko siku watajibu hizo pesa za kuchezea zinatoka wapi? wasituambie kuwa ni za wafadhili kwa vile wafadhili hawajazitoa kwa ajili ya maandamano. Hivi mara baada ya maandamano, wafuasi hujulishwa kiasi cha fedha walichotumia? wanabaki kujua MBOWE NA SLAANimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.
CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.
Wakilazimisha siyo "WAKIRAZIMISHA" na kishwahili chako hicho usitegemee hata ubalozi wa nyumba 10 ndani ya CDMNawashauri watumie helkopta kufikia wananchi wengi na kuwaelezea kuhusu iyo ukumu ya mahakama kuliko kuandamana kwani hawataruhusiwa na wakirazimisha yanaweza tokea ya Arusha.Ujumbe kupitia mikutano ya kawaida unatosha.
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.
CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.
CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.
Mkuu! Naunga hoja mkono.Magamba wanajifanya wajanja wameona wachomekee hii chapchap wakati huu kwa sababu wapinzani wako biz na Igunga. Hapo CDM wamewakamata na najua polisi watakataa kwa sababu za kiinteligesia. CDM fanyeni hayo maandamano siku ya kufunga kampeni .
Kipofu kaona mwezi,tangu helikopta ya CUF ije naona hata hamlali,ufisadi,wizi wa mali za waTZ hauwezi kufunikwa kwa helikopta, naamini kabisa baada ya uchaguzi igunga viongozi wa CUF watawekwa rehani kufidia gharama za matumizi ya hiyo helikopta kwa sababu mmekurupuka kuiga bila kujua wenzenu wamewezaje, we shabikia tu.mkiandamana tu wakati mnajikusanya Cuf tunawaambia kuwa tunapitisha helkopta na kukomba watu wote na maandamano yanafia hapo hapo.