- Thread starter
- #101
CHADEMA kikitangaza nafasi za kazi tena kwa Wa-Tanzania wenzao ili wawe na uhakika wa usalama wa viongozi wake na mali za chama kote nchini wewe hili linakupa shida gani??????????
yaani maswali hayo unayojiuliza ndiyo na mimi najiuliza why now? kwani chadema imeanza lini? je ilikuwa na walinzi wa namna gani? kwanini watu wanakurupuka bila kuliangalia hilo? Mwakembe alivoona usalama si shwari kwake hakuajiri mwanajeshi ili aliliomba jeshi limlinde. Mie siamini kama toka enzi chadema ianze eti haikuwa na walinzi kwenye ofisi zake. Na mkuujua kuwa wenye jukumu la kulinda usalama wa watanzania ni askari waliopo chini ya serikali.