Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

Ina maana kwamba... Mwenyekiti awe kama KIKWETE ( Luten Kanari ) , Katibu awe kama MAKAMABA ( Luteni ), itikadi na uenezi awe kama CHILIGATI ( kepteni ) na MKUCHIKA......... mbona wewe hujauliza hawa wana maana gani???

Holly crap
 
Mkuu mtoa hoja,Naomba nikupeni njia ya kuwatoa wasiwasi, wasilianeni na usalama wa taifa wapeleke watu wao huko waombe kazi Chadema, wataajiriwa wafanye kazi huko ili wenye mashaka yaondoke.
 
Gazeti gani?
Hoja?

Kama habari yako ni ya kweli basi kila anae ijua chadema anajua tangazo lisingekuwa kwenye gazeti hilo!

Any way,we ulitaka watangaze walinzi wenye sifa zipi ili usistuke?
Huyu alitaka watangaze nafasi za ulinzi kwa wale waliopitia mafunzo ya upishi. Hapo hata yeye ange apply
 
Washabiki wa chadema wanaboa sana!wanajiona wao ndo wanauchungu wa nchi kuliko mtu mwingine yeyote!kumbe ni wanafiki na mafisadi wakubwa,kama baba lao la uongo na TAPELI la kimataifa MBOWE!siwezi kufuata anachosema tapeli huyu hata nikiambiwa naenda kuzimu!!hana tofauti na KIBWETERE
 
Naona pia umesahau kuwa watanzania wote ni walinzi na tena tulipitia JKT! Jambo la Pili ni muhimu pia ujiulize kampuni binafsi za walinzi zimeajiri akina nani na tena ujiuliza wakuu wa mikoa na wilaya ni akina nani, baada ya hapo nadhani utakuwa huna swali

Atakuwa amekusoma mkuu
 
Kwa hiyo mtu aliyemaliza form 6 mwaka 1994 kwa akili yako ya kpuuzi ni mzee? Maaana ndiyo mwaka wa mwisho wa jkt ya lazima , lakini kumbuka tangu 1998 kumekuwa na volunteering jkt wahitimu wake wanaenda wapi? Acha kufikiria kwa kutumia utumbo, pia siyo kweli kwamba cdm inatafuta wanajeshi wastaafu na hata kama ndiyo wakisema wantafuta walinzi wa makao makuu ya cdm unataka waajiri mabwana shamba kama wewe , au waajiri mamisheni town wasio na taalamu ya kijeshi au ya ulinzi , asha ulipumba ambao always ni kuongea pumba na acha umakamba ambao always ni kuropoka , hivi kwani jamani hapa jf ni lazima wote tufachangie? Kama huna hoja au hujui si ni bora unyamaze, ni aibu kwa mtu kama wewe unayejidai unajua kumbe hata hujui hata jkt illisha na ilianza lini, hujui kuwa tunavyoongea hivi kuna vijana wapo kwenye makambi ya jkt wakiendelea na mafunzo na wengine wamemaliza miezi miwili iliyopita, i gues wewe umezoea jku huko kwenu pemba, siasa za bara kaka huziwezi , maana kule kwenu kiongozi wa kitongoji ubunge ni mbunge pemba
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
maswali ya kijinga haya...

CHADEMA ina public figures, offices administrative procedures that requires safety and security... hata clouds wana walinzi, leaders club wana walinzi

si vibaya pia ukawauliza kanali JK, Capt. Jaka Mwambi, Capt Mkuchika nk
 
Uananjeshi ni professional kama prefessional nyingine, CHADEMA inahitaji wananjeshi kwa namna ile nile inavyohitaji, wahasibu, wanasheria, madaktari, engineers na wengine! I dont see any problem with that.
 
Washabiki wa chadema wanaboa sana!wanajiona wao ndo wanauchungu wa nchi kuliko mtu mwingine yeyote!kumbe ni wanafiki na mafisadi wakubwa,kama baba lao la uongo na TAPELI la kimataifa MBOWE!siwezi kufuata anachosema tapeli huyu hata nikiambiwa naenda kuzimu!!hana tofauti na KIBWETERE

Wewe ukileta mzaha sisi tunakuwa serious na ustawi wa Tanzania
 
.......kwanza Mr. Mak ingekuwa busara zaidi ungetuwekea hilo tangazo kama lilivyo maana gazeti la HOJA si maarufu au ungetupa idadi ya hao walinzi wanaotaka kuajiriwa-isije ikawa maafisa usalama wanne ukawa unawaka. Nikijibu hoja yako, CDM kama taasisi yoyote kubwa nchini inahitaji usalama wa mali na viongozi wake kati full capacity yao hivyo baada ya kufuata sheria inayosimamia auxillary Police then wana haki ya kuajiri wana usalama wao. Nakupa mifano ya taasisi zenye maafisa usalama wao CUF, UDSM, SUA, na CCM. Nakuhakikishia hata wewe ukipata go ahead ya kuajiri afisa usalama lazima utahitaji mtu mwenye pamoja na sifa zingine pia aliyepita JKT au JWTZ mstaafu. Sasa nini kinachokuwasha CDM wakiajiri maafisa usalama wao?? W. Slaa (PhD) alinusurika kuuwawa Arusha kama si ujasiri wa walinzi wake sasa nini kinakuwasha??? Hapa nahisi wewe ni mmoja wa wale snippers wa Arusha na umeumia roho kukuta ulinzi tight wa Slaa (PhD) so try next level or switch to your plan B!! Arusha tuliwachunia next time we hit you back!!
 
Hivi wanajeshi si ruksa kuajiriwa?? sijaona ubaya labda tunataka tuanzishe kampuni ya Ulinzi wa kura zetu next time
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
Nikumlinda Dr Slaa zidi ya Kundi la Al-Shabaab na CCM....
 
Badala ya kuwa na wasiwasi nadhani ungepata amani. Wakiajiriwa watua wasio na taaluma ya ulinzi kwenye ulinzi huoni kwamba mambo yataharibika? Unapenda risasi ziwe zinafyatuliwa hovyohovyo na watu wasio trained?
 
Hivi wanajeshi si ruksa kuajiriwa?? sijaona ubaya labda tunataka tuanzishe kampuni ya Ulinzi wa kura zetu next time
Mkuu wajua safu njima ya uongozi wa CCM ni wanajeshi.
Mwenywkiti Luteni JK
Katibu Luteni Makamba
Na wengine.....
Sasa we wakeleka nini wanajeshi kuajiliwa CDM
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

Weka hilo Tangazo hapa. Wengi hatusomi magazeti ya UDAKU
 
Back
Top Bottom