Chadema Kortini tena Arusha

Imekuwa wimbo bagbo,misri,tunisia weka na yemen,syria,libya etc.Wenye nia ya kutenda huwa hawapayuki.Narudia hizi ni kelele za chura ndani ya tope kama hayo unayotamani yatokee,Watanzania wangekuwa na akili kama zako mapema wangetekeleza.

Sikiliza bwana mdogo,Watanzania nao ni binadam,ao,hawapendi kupoteza maisha yviungo vyao(ulemavu),makazi yao na pengine kuwa wakimbizi kwa sababu ya hao unaowatetea ambao hawana kovu lolote zaidi ya kuanguka bafuni.Mifano tunaiona inavyozidi kuwa tata Libya na Syria ambapo maelfu ya watu yamepotea.

Mbona tunaangaika na wanasiasa hawa wasio na upako kwa Mungu(wengi chanzo cha machafuko),ningefurahi kama moyo huu ungekuwa nao katika imani yako Msikitini au Kanisani ukizidisha maombi ili uweze kuona pepo.

Ni kweli watanzania tuna moyo huo! wa kukubali kuendelea kuwa maskini na kuishi maisha ya tabu huku wachache wetu wakila bata kwa mrija,kwa kutumia jasho letu.Mungu atujalie kuendelea kuwa na moyo huu!ili tanzania iendelee kuwa na amani na umaskini.
 
Jihadharini ndugu, inawezekana kabisa mnasumbua vichwa vyenu kujibizana na watoto wadogo humu. Someni kwanza vizuri michango yao jamani kabla hamjapoteza muda wenu bure! Nikisema wale watoto waliopelekwa kujadili muswada wamefunguliwa account JF ntakua nimesema urongo? Halafu siku moja mahakama zetu zitakapokaa vizuri,nitawaburuza hawa jamaa wa magamba huko,hii ni child labour kabisa!
 
Mlimbwende Aliyedanganywa Kupewa Utajiri PasipoAngalizo ni kada wa sisiem asiye tayari kutumia akili yale ipasavyo....
Utajiri uliotokana na kuisaliti jamii yako una mwisho mchungu!..... (Hivi umeziona hizo herufi za kijani? kwi! kwi! kwi!
 
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM

Km hawako tayari kutoa taarifa basi wasioji watu! Swala hapa si kulazimishwa,swala ni kutoa taarifa kinyume na ukweli.Unahoji mtu,alafu unachambua mchele mwingi,unaweka kapuni pumba mbili ndo unaletea umma ili ionekane aliyehojiwa katoa pumba tupu!Huo sio uadilifu hata kidogo.
 
inawezekana huyu jamaa ni kaimu mkuu wa wilaya ya masasi kaachiwa ofisi na nape,...teh tehe heee....
Anajua anachokifanya sasa..
Hayo ni mapambano tupo makupa wengi ambao ndio tumeanza kazi rasmi ya kujibu tuhuma nyepesi za wana cdm
 
Hayo ni mapambano tupo makupa wengi ambao ndio tumeanza kazi rasmi ya kujibu tuhuma nyepesi za wana cdm

Mkuu nakuaminia, maana wanadhani kutukana ndio kutawasaidia wewe wabane kwa hoja wepesi sana.
 
Km hawako tayari kutoa taarifa basi wasioji watu! Swala hapa si kulazimishwa,swala ni kutoa taarifa kinyume na ukweli.Unahoji mtu,alafu unachambua mchele mwingi,unaweka kapuni pumba mbili ndo unaletea umma ili ionekane aliyehojiwa katoa pumba tupu!Huo sio uadilifu hata kidogo.
Unapohojiwa hulazimishwi kujibu
 
JK-Jua Kali .. ameshindwa kujibu tuhuma ndiyo wewe Ane Makinda Makinda
Hata FM nae jua kali tu ndio maana alihakikisha ya kuwa anakuwa kiongozi wa upinzani bungeni ili walau aweze kujazia anachopata pale bills
 
mkuu najua kazi ya msekwa na makamba inalipa,hivi mnatumia dawa gani za kupunguza maumivu
yatokanayo na mgandamizo wa mawazo maana kusaliti watu sio kazi ndogo hata YUDA baada ya kumaliza
usaliti alijitia kamba sijui wewe umejianda vipi ?
cdm top brass

Mtabaki kuilamu TBC ANZISHENI YA KWENU

ukweli upi wakati tunasubiri wazee wazima (cdm top brass) wajue kwamba utawala wa sheria upo na unafuatwa na si vinginevyo
 
hiyo sheria kwa RACHEL haifanyi kazi,
au ni kwa wale wasio na ufisadi tu ndio wanapelekwa mahakama
maana hawakumwezesha mkuu wa kaya kuingia MAGOGONI

Originally Posted by Makupa
ukweli upi wakati tunasubiri wazee wazima (cdm top brass) wajue kwamba utawala wa sheria upo na unafuatwa na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom