Chadema Kortini tena Arusha

Police arusha wamejiandaa kuwakabili wafuasi wa chadema wanaotaka kwenda kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wao leo

Nawasihi wafuasi wa CDM wasienda maana virungu vya police vitawaumiza
Kumbe virungu tu Leteni hayo mabomu ya Gongo la Mboto...
 
viongozi na wanachama wa chadema watapanda kizimbani kujibu mashitaka yao...
kesi imeahirishwa mpaka tarehe 27 mei 2011..nikutokana na washitakiwa namba 8 na 16 kutokufika mahamani
 
naona dr slaa, mbowe, lema, madiwani wa cdm na wapenzi wa cdm wako tayari kabisa kufatia kesi..kulitokea kutokuelewana kati ya wapenzi wa cdm na mwandishi wa tbc, wakimtaka aache kufanya mahojiano na lema wakidai ni wachakachuaji kama wanataka taarifa wakaandike za jk hata wakitaka wamuonyeshe hata akiwa chooni
 
:cell: endelea kutujuza mkuu,nimependa walivyowaambia hao waandishi wa TBC1.......
 
naona dr slaa, mbowe, lema, madiwani wa cdm na wapenzi wa cdm wako tayari kabisa kufatia kesi..kulitokea kutokuelewana kati ya wapenzi wa cdm na mwandishi wa tbc, wakimtaka aache kufanya mahojiano na lema wakidai ni wachakachuaji kama wanataka taarifa wakaandike za jk hata wakitaka wamuonyeshe hata akiwa chooni
Safi kabisa wana CDM Arusha hao TBC wakipiga picha Lema anacheka wanageuza na kusema alikuwa anamcheka Hakimu hawana maana hao waende wakawahoji magamba yao na mpiga tarumbeta la CCM Nape naona Makamba amepata mrithi wa kulipuliza domo la bata, endelea kutubaharisha.
 
kesi imesima ili hakim akafanye majadiliana kama kesi endelee ama laah ni kutokana watuhumiwa wawil kuto kufika..walisoma vfungu na wakili wa cdm akasema kwa mjibu makosa ya jinai sheria inaruhusu kesi kuendelea hata kama mtuhumiwa hayupo..
 
Safi kabisa wana CDM Arusha hao TBC wakipiga picha Lema anacheka wanageuza na kusema alikuwa anamcheka Hakimu hawana maana hao waende wakawahoji magamba yao na mpiga tarumbeta la CCM Nape naona Makamba amepata mrithi wa kulipuliza domo la bata, endelea kutubaharisha.

lema na John bayo ndiyo waliwa tuliza kwa kuwaambia hawa wa mikan hawachaka chui, taarifa hutuma mkao makuu na huko ndiko huchachua
 
lema na John bayo ndiyo waliwa tuliza kwa kuwaambia hawa wa mikan hawachaka chui, taarifa hutuma mkao makuu na huko ndiko huchachua

kuna mantinki gani kuwaruhusu wakuhoji then habari ikienda makao makuu inachakachuliwa, au isionekane kabisa
 
hakimu anapingana wakili wa cdm kutaka mshitakiwa kusomewa mashitaka hata kama hayo..
 
Back
Top Bottom