CHADEMA kisisikilizwe tena!

bali tusikilize matusi ya UVCCM si hicho ndio unataka, CHADEMA ina watu makini na wenye busara,ni lini ulisikia wakimtukana mtu kama ilivyofanya UVCCM au kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu,CHADEMA inachafuliwa kwa kila mbinu, ccm wanatumia mbinu zote kukimaliza lakini watanzania hatutawasikiliza maana tumeshawafahamu ''wao na mali zao sisi na CHADEMA yetu''
 
Back
Top Bottom