Elections 2010 Chadema - Kigoma mjini (picha)

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
62.jpg

Pichani ni mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha CHADEMA,Bw.Ally Khalfa Mleh

82.jpg

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati alipokuwa akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini,Bw.Ally Khalfa Mleh wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho mjini humo katika uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.

33.jpg

Wanachi waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho​

72.jpg

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Kigoma Mjini wakati wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho mjini humo katika uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.​

13.jpg

Wanachadema kabla ya uzinduzi rasmi wa kambeni yao ndani ya Kigoma Mjini kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.​

11-wagombea-udiwani.jpg

Wagombea Udiwani wa chama cha CHADEMA katika picha ya pamoja mjini Kigoma wakati wa kutambulishwa rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.​

15.jpg

Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia chama cha CHADEMA akiwasili na mgombea mwingine wa chama chake kupitia jimbo la Kigoma mjini,Bw.Ally Khalfa Mleh kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.

22.jpg

Baadhi ya watu wakiwemo wanachama wa chama CHADEMA waliojitokeza uwanja hapo kusikiliza mchakato mzima wa sera za chama hicho .​

14.jpg

Pichani ni uzinduzi rasmi wa kampeni ya chama cha CHADEMA ndani ya Kigoma Mjini kupitia mgombea wa kiti cha Ubunge,Bw.Ally Khalfa Mleh kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.​
 
Wow! Hapa inapendeza kweli. Kigoma hakuna kulala mpaka kieleweke, no wonder hali kama hii ndio imesababisha ccm kutompumzisha Jk japo ni mgonjwa.
 
Leo Mwanza mambo yalikuwa mazito zaidi. watu zaidi ya 4000 walihudhulia. wakati CCM inabeba wananchi kwa magari, leo wananchi walilipa naili zao wenyewe kuja kwenye mkutano!! Nawatakia mafanikio CHADEMA
 
Jamani tuleteeni picha. Hapakuwa na wapiga picha?

Nasikia lile pingamizi alilokuwa kaweka Masha limeamsha hasira sana kwa wakazi wa Mwanza kiasi kwamba wameamua kuwa watamuadhibu.
Please mtujulishe zaidi kimetokea nini na hali ikoje?
 
Kigoma mjini tuko wote tafadhali. Hatulali mpaka kieleweke. Jiwekeni tayari kulinda kura zenu, simpendi huyo kibaraka wa Lowasa na Rostam Aziz anayeitwa Selukamba.
 
Niimeona ITV Dr Slaa akiwa Busanda; ilikuwa funika mbaya; mwenye habari zaidi alete; naona kabisa na niseme kwamba msishangae na sasa naona itakuwa hivyo Dr Slaa come 1st Nov, ktk vituo atashinda, wilayani ataongoza, ktk tume kutangaza watakuwa na kigugumizi; by then wananchi watakuwa macho; had Nov 3, atatangazwa rasmi kuwa mshindi wa urais.

Kuna kitu kikubwa; Slaa hajafika mikoani; yuko vijijini tu kwa sasa; hajakanyaga Morogoro,Dodoma,Singida, Arusha, Shinyanga, Mwanza (mijini makao makuu ya mikoa). Second round ni kwenda kukamata; naamini sasa Slaa anachukua; strategy yake ufanisi wake nilikuwa nautathimini ni 95% (efficiency ni 95% ktk mazingira yetu ya ufisadi) mpaka nchi zingine zitakuja kuzisoma ili ikazitumie
 
Meanwhile sisi tunachana mbuga vijijini kumsaidia kumnadi na aiseeeeee anakubalika kikweli!
 
Back
Top Bottom