Chadema kiboko!

Huyu jamaa anayesemaa kuwa wabunge wa Chadema wanarudia hoja tunamuomba aweke namba ya simu humu ili tumsaidia akapate theraph ya ubongo maake ubongo wake si DHAIFU tu ila umechanganyika na usaha ndani yake,kaka matatizo ya Watanganyika ni yale yale tena yanaongezeka wakati yale ya mwanzo hata hayajapatiwa ufumbuzi pole kaka kwa UDHAIFU wako
 
Alichosema Wenje mbona kiko sahihi sana tu,kwani hukumuona Kandoro alivyohamanika wakati kamanda ana mwaga ugali pamoja na mboga!
 
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri tz..! !. Sijaona ata 1 wa ccm anagusia iyo issue,,eccept wanaishia kupongezana tu!! Ongera Wenje!

Nchi ina khali ngumu ya kiuchumi , mapato yamepungua, bajeti ina naksi ya fdha karibu trilion moja, lakini waziri mkuu anaita ma RAC wote na RC wote tanzania kuna kusikiliza bunge linavyopitisha bajeti .fedha hizo zingepelekwa kufanyia kazi nyingine;huko kwao hawana tv?
 
Ndo cha kushangaza,na tujiulize je,tuna viongozi kweli?kwa kweli inauma sana ukifikiria,basi tu!
 
sio wakali.. CCM ni chama makini .... hakuna ukanda.. ukabila.. udini...

hiz hoja za udin ndugu mkizpa nafas haztaishia kkuitokomeza na kuiua cdm tu bali zitaenda mbali zaid na kuligawa taifa. hapo ndo mtaiona damu mikononi mwenu nyinyi ccm................
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja, wekeni basi na wizara zetu zina wafanyakazi wangapi na za hao wenzetu zenye mawaziri kidogo zina wafanya kazi wangapi. Na pia msisahau kutuwekea matumizi yao na matumizi yetu. Kwi kwi kwi teh teh teh.

Tazama wanavyokosa hoja wanakuja na viroja...
 
ccm wamebaki kusinzia na kupiga makofi

59f2d07b-623e-f14e.jpg

Angalia hiyo picha mkuuu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja, wekeni basi na wizara zetu zina wafanyakazi wangapi na za hao wenzetu zenye mawaziri kidogo zina wafanya kazi wangapi. Na pia msisahau kutuwekea matumizi yao na matumizi yetu. Kwi kwi kwi teh teh teh.

Tazama wanavyokosa hoja wanakuja na viroja...

Samahani naomba kukuuliza hivi wewe ni mke wa ngap wa JK?
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge

Unadhani ingekuwa hoja zao zinafanyiwa kazi wangepata la kuongea? Wanarudia hoja kwa sababu serikali si sikivu kivile! Tumia akili kidogo kujenga hoja.
 
nitaitetea nchi yangu kwa akili yangu yote, kwa nguvu zangu zote na mahala popote, Hongera Kamanda Wenje.
 
sio wakali.. CCM ni chama makini .... hakuna ukanda.. ukabila.. udini...

Ukanda, ukabila na udini anao nani? Wewe umekunywa chimpumu au ni nini? Sugu,Khalif, Zitto, V. Nyerere, Wenje, Kahigi, Mbasa, etc. wanatoka kanda gani na ni dini gani na kabila gani wote hao? TANU ilianzia Pwani then ikaenea nchi nzima sasa ulitaka watu wa mikoa mingine tuseme ni chama cha wazaramo na watu wa pwani so tuunde chama cha mikoa ya magharibi, kaskazini, kati na ziwa?Acha ushamba na km huna hoja jiondoe kaungane na magamba kwenye ufisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom