Chadema kiboko!

Jamani SimbaChawene yupo naye leo kahudhuria bungeni; nani atakua amemuona huko?? Katoa hoja gni pale kwani?

Jamani nimejaribu sana kukata shingo ili nimuone Mhe SimbaChawene pale sebuleni lakini nimeshindwa.

Kuna yeyote mwenye taarifa zozote juu yaake na mahudhurio yake kule Bungeni Domz tangu mkasa wa kule Aqua Restuarant kule Singida???
 
Anatibu majeraha kwa dawa zote za dunia hii na baada ya wiki mbili atajitikeza media kubisha na ajidai mje mkague mwili kama una umefungwa kidonda, mjanja huo!!! Kadanganye mjukuu wako!!!!
 
Acha utumwa wewe,ni mbuge gani wa ccm kaja na hoja mpya zaidi ya akina Deo na Mpina ambao kwa ukweli wao wa kutetea maslahi ya umma leo wanaonekana ni wasaliti kwa chama.

na huyu hana lolote, yeye na makamba walikua wanautaka uwaziri kwenye baraza jipya, bahati mbaya akatoswa, fisadi tu na yeye.
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge

Akili ndogo kama jina lako linavyosadiki. Kwani wakiibua alaf si kwamba halijatekelezwa na ndio kazi ya ccm {magamba}kutokutekeleza ahadi
 
Anatibu majeraha kwa dawa zote za dunia hii na baada ya wiki mbili atajitikeza media kubisha na ajidai mje mkague mwili kama una umefungwa kidonda, mjanja huo!!! Kadanganye mjukuu wako!!!!

mkuu jana alikua mjengoni anajibu hoja za wizara yake, wakati kasimama kwenda mbele alikua akishangiliwa kwa nguvu, alikua kavaa suti ya mikono mifupi, yuko FIT hana jeraha wala ngeu!.
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
Zinarudiwa kwasababu ya ukaidi na uziwi wa CCM. Na Zitarudiwa mpaka siku masikio yao yatakapozibuka. Kwa kawaida ukiongea na mtu ambaye hasikii ni lazima utarudia ili kumpa fursa nyingine ya kusikia tena safari hii utarudia kwa sauti ya juu zaidi.
 
Wenje ameongelea mambo ya msingi;sijui kama serikali ina masikio ya kusikilia maoni hayo!
Anyway,ukimpigia mbuzi gitaa kwa muda mrefu na sauti kubwa itamlazimu tu acheze!!
 
Wenje ameongelea mambo ya msingi;sijui kama serikali ina masikio ya kusikilia maoni hayo!
Anyway,ukimpigia mbuzi gitaa kwa muda mrefu na sauti kubwa itamlazimu tu acheze!!
 
si unajua tena magamba wanapeana vyeo kishemeji! ni kweli kuliko kuwa na wabunge wa CCM wanaosinzia bungeni ni afadhali kama wakina komba ni afadhali kuwa wabunge wachache watenda kazi
 
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri tz..! !. Sijaona ata 1 wa ccm anagusia iyo issue,,eccept wanaishia kupongezana tu!! Ongera Wenje!

vp kuhusu swala la wakuu wa mikoa wameenda dodoma kufanya nini kama cyo kuongeza matumizi yasiyo ya lazima? Hongera sana Dibogo
 
Back
Top Bottom