CHADEMA kesho kutoa takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo, Dar es salaam

arusha 1

Senior Member
Dec 29, 2011
147
45
[h=6]Taarifa hii nimeitoa kwenye ukurasa wa facebook wa KILEWO.

CHADEMA Dar es salaam tumeathirika na mgomo unaoendelea wa Madaktari kwa kuondokewa na kiongozi wetu wa tawi la Banana ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa tawi hilo Bw Benard kiwele. kamanda alipata ajali ya piki piki na kukimbizwa hospital ya Muhimbili na kukosa huduma za kimatibabu hivyo kumpelekea kupoteza maisha usiku wa kuamkia 26/01/2012.

CHADEMA Kanda maalum ya Dar es salaam tunatoa pole kwa familia zote zilizopoteza ndugu zao kwa mgomo huwo wa madaktari uliyosababishwa na uzembe wa serikali ya CCM kushindwa kutimiza wajibu wao katika kuwalipa watumishi hawo. Siku ya kesho kwenye mkutano wetu wa hadhara utakaofanyika kigogo Tutatoa tamko Rasmi la Chama kanda hii ya Dar es salaam kuhusiana na mgomo huwo na athari zilizojitokeza mpaka sasa. japokuwa madai hayo ya msingi tulikwisha yasemea kwa muda mrefu kupitia kwa katibu wetu mkuu Dr Slaa juu ya athari zitakazo jitokeza kutokana na migomo mbalimbali inayoendelea hapa nchini......... mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema..... amen[/h]LikeUnlike · ·Unfollow PostFollow Post · Share · 18 minutes ago
 
Taarifa hii nimeitoa kwenye ukurasa wa facebook wa KILEWO.

CHADEMA Dar es salaam tumeathirika na mgomo unaoendelea wa Madaktari kwa kuondokewa na kiongozi wetu wa tawi la Banana ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa tawi hilo Bw Benard kiwele. kamanda alipata ajali ya piki piki na kukimbizwa hospital ya Muhimbili na kukosa huduma za kimatibabu hivyo kumpelekea kupoteza maisha usiku wa kuamkia 26/01/2012.

CHADEMA Kanda maalum ya Dar es salaam tunatoa pole kwa familia zote zilizopoteza ndugu zao kwa mgomo huwo wa madaktari uliyosababishwa na uzembe wa serikali ya CCM kushindwa kutimiza wajibu wao katika kuwalipa watumishi hawo. Siku ya kesho kwenye mkutano wetu wa hadhara utakaofanyika kigogo Tutatoa tamko Rasmi la Chama kanda hii ya Dar es salaam kuhusiana na mgomo huwo na athari zilizojitokeza mpaka sasa. japokuwa madai hayo ya msingi tulikwisha yasemea kwa muda mrefu kupitia kwa katibu wetu mkuu Dr Slaa juu ya athari zitakazo jitokeza kutokana na migomo mbalimbali inayoendelea hapa nchini......... mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema..... amen

LikeUnlike · ·Unfollow PostFollow Post · Share · 18 minutes ago
    • Brian Lemnge R.I.P 14 minutes ago · LikeUnlike
    • Salvatory Mkami R.I.P KAMANDA 13 minutes ago · LikeUnlike
    • Ben Bravo 'Junior Hii inasikitisha sana kwa nchi iliyoweza Kuthubutu, kuweza na kusonga mbele.
      Poleni sana makamanda wote wa CHADEMA. Tupo pamoja kwenye janga hili. 12 minutes ago · LikeUnlike · 1
    • Dionis Bundara RIP. 10 minutes ago · LikeUnlike
    • Evelyne Meena Damn Ccm kipofu,R.I.P kamanda wetu tutakukumbuka daima. 9 minutes ago · LikeUnlike
    • Anass Al-Barwani poleni sana kw msiba na kw uzeembe w hali ya juuu 9 minutes ago · LikeUnlike

Kwani CHADEMA ndiyo Serikali au Daktari mkuu mpaka mtoe takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo? Au tuamini kwmaba ninyi ni miongoni wa makundi yaliokuwa nyuma ya mgomo huo?
Hamna hata haya, yaani mnakuwa kimbelembele kutoa tamko kwa jambo ambalo mmelianzisha ninyi? Acheni siasa za mauaji.
 
CDM bana kweli mazuzu kweli , mtu amejifia kwenye ajali mnaisingizia muhimbili eti kwa sababu ya mgomo wa madaktari. Unafiki wenu huu utawafikisha pabaya

kwasababu mkiumwa mnakimbilia INDIA NA ULAYA ndiyo maana mnaona hakuna sababu za msingi za kulipa madeni hayo, mungu ataendelea kuwaumbua mchana kweupe
 
Nataka kujua tu; hivi katika hali kama hii ni nani anawajibika kutoa taarifa za maafa manake mtu anaweza akakurupuka kutoa taarifa kumbe akavunja sheria!
 
arusha 1 said:
Tutatoa tamko Rasmi la Chama kanda hii ya Dar es salaam kuhusiana na mgomo huwo na athari zilizojitokeza mpaka sasa.

Sijaona mahali walipotamka kuwa watatoa takwimu zaidi ya kutoa TAMKO RASMI la Chama, kwa kanda yao.

Tuonyeshe arusha 1 wapi hapo palipoandikwa ujumbe sawa na kichwa cha post hii, vinginevyo wewe ni mzushi.
 
kwani chadema ndiyo serikali au daktari mkuu mpaka mtoe takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo? Au tuamini kwmaba ninyi ni miongoni wa makundi yaliokuwa nyuma ya mgomo huo? Hamna hata haya, yaani mnakuwa kimbelembele kutoa tamko kwa jambo ambalo mmelianzisha ninyi? Acheni siasa za mauaji.
madaktari watatoaje takwimu wakati hawakokazini? Na serikali ya ccm itatoaje takwimu wakati wao ndo chanzo cha vifo vya ndugu zetu?
 
Tukisubiri serikali itoe takwimu za vifo ilivyovisababisha kwa uzembe wake na sera zake za uuaji hatutapata kabisa taarifa hiyo,vyanzo huru acha viseme ili tujue janga tulilo jitakia kuipa CCM serikali
 
Nataka kujua tu; hivi katika hali kama hii ni nani anawajibika kutoa taarifa za maafa manake mtu anaweza akakurupuka kutoa taarifa kumbe akavunja sheria!

Kama serikali ya magogoni haitaki kuongea basi wajue kuwa serikali mbadala huku uraini itaongea. Very simple. Na hapa hakuna wa kumlaumi zaidi ya serikali ya magogoni wenyewe. Kila wizara ina afisa habari wanafanya nini? Ingekuwa jambo la maana zaidi kama waziri kivuli wa afya angeita waandishi wa habari na kutoa tathmini ya madhara ya huu mgomo.
 
Kwani CHADEMA ndiyo Serikali au Daktari mkuu mpaka mtoe takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo? Au tuamini kwmaba ninyi ni miongoni wa makundi yaliokuwa nyuma ya mgomo huo?
Hamna hata haya, yaani mnakuwa kimbelembele kutoa tamko kwa jambo ambalo mmelianzisha ninyi? Acheni siasa za mauaji.

CHADEMA ni chama pinzani ambacho kunakiongoza chama kilichoko madarakani kwani uamuzi unaofanywa na chadema lazima ccm watekeleze na sasa wanawapa takwimu ambayo wao hawezi kuijua ndo maana wanashindwa kutekeleza madai ya hao madaktari
 
CDM bana kweli mazuzu kweli , mtu amejifia kwenye ajali mnaisingizia muhimbili eti kwa sababu ya mgomo wa madaktari. Unafiki wenu huu utawafikisha pabaya

Onyesha busara zako kwakuficha upumbavu wako sasa hapo kati ya serikali na cdm na wewe nani zuzu?
 
kwasababu mkiumwa mnakimbilia INDIA NA ULAYA ndiyo maana mnaona hakuna sababu za msingi za kulipa madeni hayo, mungu ataendelea kuwaumbua mchana kweupe

Ashaanza kuwaumbua si unaona washaanza kutoana roho wenyewe?
 
Ww nani amekukataza kwenda india ? acha wivu wa kike.

Mwangu wewe unabonyeza tu keybord kwavile si garama na haitumii nguvu ndo maana unaandika uharo unaojisikia pia nadhani hizi kauli zako ni kwavile bado unafugwa ndo maana unakuwa na kiburi namna hiyo ngojea uanze kujitegemea usipofyata mkia
 
Nataka kujua tu; hivi katika hali kama hii ni nani anawajibika kutoa taarifa za maafa manake mtu anaweza akakurupuka kutoa taarifa kumbe akavunja sheria!

Kwa serikali ya magamba hawana hilo ingekuwa ni kujitangazia ongezeko la posho kwa wabunge bi kiroboto ashakurupuka teyari
 
Kwani CHADEMA ndiyo Serikali au Daktari mkuu mpaka mtoe takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo? Au tuamini kwmaba ninyi ni miongoni wa makundi yaliokuwa nyuma ya mgomo huo?
Hamna hata haya, yaani mnakuwa kimbelembele kutoa tamko kwa jambo ambalo mmelianzisha ninyi? Acheni siasa za mauaji.
Wauaji ninani CDM au serikali yako umesoma taarifa vizuri kweli hebu rudia tena???????

Back
Top Bottom