Chadema katika picha mbuguni

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
na kamanda mwenyewe nilitia timu labda watupore ushindi kwa nguvu lakini kwisha habari yao magamba...eti hii ndo kata wanayotegemea kuteka watu wote hawataweza


cdm.jpg
 
ushindi ni wa chadema,lakini kwa vikao vya siri vinavyofanyika ccmitakuwa shughuli
 
mi nakwambia hata wafanye vikao mia vya siri hawatoki labda wafanye hivi watangaze tu kwamba sioi kashinda hata kama kura kazidiwa ndo watauona motoo
 
ushindi ni wa chadema,lakini kwa vikao vya siri vinavyofanyika ccmitakuwa shughuli
mbunge wa arumeru atachaguliwa na wananchi wa arumeru na si vinginevyo.
Wakae vikao vyote lakini mbunge ni lazima awe yule anayetakiwa na wananchi.
"nguvu ya umma haishindwi''
 
Ndugu,

Nyota njema uonekana asubuhi. Huu ni ushindi tosha kwa CHADEMA, kazi iliyobaki ni kumbariki mgombea wao kwa kumpa kura nyingi sana kesho kutwa. I pray for Arumeru, I pray for Nassari.
 
kweli Mungu Mkubwa,.............Nassari usiache maombi. Majimarefu na majini yake anaogopa sana maombi. Mganga kama yeye hapa kasema........kila wakitaka kukuingilia anakuwepo mtu anaomba kwa ajili yako. Majini zaidi ya 30 yameshaangamia. Endelea kuomba hvyo hivyo kwa mungu wako................Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom