Chadema kata ya bangata wawafunika ccm.

Lema. Arumeru zote mbili hakuna lami kwasababu ya uhuni wa ccm kuchumia tumbo, Wananchi wa bangata mnaamuka asubuhi saa kumi na moja kutembea kilometa 5 kwenda na kurudi inakuwa kilometa 10 wakati arusha mjini kwa sasa kuna barabara za lami kila mahali kwa kipindi kifupi sana, sasa nyie kwa miaka hamsini ccm wamewafanyia nini? Makamanda tufanye kweli, mimi kule daraja mbili na subiri tu siku ya mwisho wananchi wakamshudie diwani wao akitangazwa.
 
:lol::A S 465:kamanda wewe umeona bang'anga ili goma ni nkila kona,muulize Ali Bananga na Cecilia Paleso wapo huko mtibwa wamemaliza kazi,muuliza Kigaila yupo Huko mahenge kwishiney,muulize Mawazo C Alphone yupo huko Idodomya wamejikataa; hapa ni mwendo mdundo. :A S 465::ballchain:peoplessssssssssssssssss
 
ccm bado wanatoa bastola kwenye kapeni ?maskini ccm arusha naona sasa wanazidi kufilisika sera
 
Sababu zinazopelekea kufanyika uchaguzi huko Bangata ni nini?

Diwani aliyepita alikuwa chama gani?

Tarehe ya kupiga kura ni lini?
 
Pamoja na hayo yote mh. kendo ni mlevi wa kutupwa, hafai kuwa mwakilishi wa wananchi, analewa hadi anajikojolea.
 
Lema. Arumeru zote mbili hakuna lami kwasababu ya uhuni wa ccm kuchumia tumbo, Wananchi wa bangata mnaamuka asubuhi saa kumi na moja kutembea kilometa 5 kwenda na kurudi inakuwa kilometa 10 wakati arusha mjini kwa sasa kuna barabara za lami kila mahali kwa kipindi kifupi sana, sasa nyie kwa miaka hamsini ccm wamewafanyia nini? Makamanda tufanye kweli, mimi kule daraja mbili na subiri tu siku ya mwisho wananchi wakamshudie diwani wao akitangazwa.

Arumeru mbunge ni wa CDM sasa mnalalama nini fanyeni mabadiliko ambayo mnaona CCM wameshibdwa! Ushindi haupimwi kwa macho kama unavyodhani!
 
Back
Top Bottom