Chadema karibuni Rufiji/Mloka

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
Huku Rufiji jiji cha Mloka kuna vyama viwili tu vinavyojulika (ccm na cuf) chadema hawakijui,Ila wananchi wa Mloka wamechoka na vyama hivyo wanaisubiri kwa hamu M4c ifike huku.Fanyeni hima viongozi wa chadema mje mloka mnasubiriwa kwa hamu mje kufungua tawi.wanachama ni wengi sana
 
Mkuu kwa kuwa wewe upo huko na nimwenyeji huko si vibaya ukaanzisha harakati kwa kutoa elimi ya uraia kwa wanakijiji, halafu uanze mchakato wa kuanzisha tawi.
Unaweza kuwasiliana na viongozi wakuu kwa chadema kwa msaada zaidi.
Wengi wamo humu, watakueleza cha kufanya. Lakini mkiwa watu kuanzia 30 mnaweza kuanzisha tawi dogo la chadema.
 
Huku Rufiji jiji cha Mloka kuna vyama viwili tu vinavyojulika (ccm na cuf) chadema hawakijui,Ila wananchi wa Mloka wamechoka na vyama hivyo wanaisubiri kwa hamu M4c ifike huku.Fanyeni hima viongozi wa chadema mje mloka mnasubiriwa kwa hamu mje kufungua tawi.wanachama ni wengi sana

Unaanzisha harafu viongozi watakuja kufungua tawi, wakati wa mabadiliko hutakiwi kumsubiri kiongozi.
 
Mwanzisha uzi, toa elimu ya uraia, andikisheni majina watu 30 muanzishe tawi dogo! Kila watu 30 mnaanzisha tawi dogo! yakifika matawi madogo 10 mnaweza kuanzisha tawi kubwa. Usisahau kuwapigia makamanda kwa taarifa zingine za utaribu wa namna ya kupata vitendea kazi kama card na bendera. Kila la kheri!! Msingoje makamanda hadi waje! wajibika
 
Back
Top Bottom