Chadema karibuni jimbo la bariadi magharibi kwa chenge(mzee wa simiyu)

Feb 18, 2012
23
10
Nafurahia sana jinsi chama changu kinavyokua hasa katika kipindi hiki cha Mageuzi ya dhati yanayoratibiwa na CDM, wito wangu ni kuwa pamoja na mafanikiwa makubwa ya CDM katika Maeneo mengi, bado chama hiki pendwa na mvuto hakijaweka mizizi imara katika majimbo mawili ya Bariadi ambako ndiko makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu yalipo.

Hasa ikizingatiwa kuwa katika uchaguzi mkuu 2010, chadema iliambulia patupu katika majimbo haya na kumuacha ''Mzee wa Vijisenti'' na '' Bw. Mapesa'' wakinawili kwa pasipo hata kupiga Kampeini za Maana. Hivyo nawaomba Chama pendwe na makini kuimarisha mikakati na kung'oa mizizi ya Ukoo wa Chenge achilia mbali kwa MOMOSE, Cheyo John anaeonekana kiatu kumpwaya 2015.

Swali, Mzee wa Vijisenti ana ubavu wa Kutosha kuhimili mikikimikiki ya M4C a.k.a People's pooooooooooower!!!, Lakini pia CDM wana ubavu wa dhati kupambana na mzee huyu wa sheria?
 
Wakuu nimeipenda hii, ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke!!!!!! Mzee wa vijisenti si ni utajili wake na familia yake?????? Makamanda wa CDM zamia Bariadi na Simiyu ukombozi ni sasa!!!VIVA CDM VIVA UKOMBOZI BARIADI?????
 
Tatizo la Bariadi ni umaskini wa wanyantuzu, wakichinjiwa ng'ombe na pombe za bure ubunge wanampa kama pipi, kumbuka Joseph Ng'wani alikuwa anapewa ubunge kwa kugawa bia wale wa mjini na kule mashambani wanapewa chumvi tu,
 
Kama kuna mistake ambayo chadema wanaifanya ni kutofatilia jimbo la Bariadi na hasa lile la mjini(chenge). Kimsingi hakuna watu wapenda mageuzi kama Bariadi. Tukumbuke jimbo hili na hata halmashauri ilikuwa ikiongozwa na UDP kwa muda mrefu. UDP ni chama ambacho hakina nguvu tena Bariadi na kinadharaulika na kila mtu ispokuwa labda mwasisi wake(Cheyo).Chenge hana uwezo wa kupambana na chadema ni mtu mwepesi sana maana 2010 alipambana na mtu dhaifu amabaye alikuwa mbunge kwa miaka 10 na watu wakamchoka lakini alirudi akagombea tena na watu walimpa kura wengi tu kwa sababu hawaipendi ccm.

Chenge kinachomweka bariadi ni RUSHWA na ushirikiano na matajiri wa pale bariadi ambao ni wafuasi wa mafisadi. Matajiri wa bariadi ambao wote hawakumaliza hata darasa la saba ndiyo wanaowachagulia wana Bariadi mgombea siku hizi. Kwa kuwa wanafanya biashara kwa kushirikiana na mafisadi wengi wao wako magambani.

Dawa ya Bariadi ni mikutano ya hadhara maana watu wabariadi wanapenda mtu anayeweza kuongea jukwaaani basi. Rushwa wanaweza kuchukua lakini siku zote wanachagua mtu mwenye mvuto. Cheyo huchaguliwa kwa sababu anaweza kutema vijembe majukwaani wakati wa kampeni.Kijana yule wa ccm 2010 alihonga sana lakini akapigwa chini kwa sababu hakuwa na uwezo jukwaaani.

Bariadi inahitaji mtu wa aina ya Vincent Nyerere maana wasukuma ni watu wa utani sana. Ukiwa serious kama alivyo chenge hupati kura kwa wasukuma ni lazima uwe mtu wa vijembe na mvuto. Chenge hupata kura kwa sababu ya udhaifu wa wapinzani wake ila yeye hawezi kabisa kuongea jukwaaani ispokuwa mke wake ndiye huwa anamwokoa kwa kuhutubia na kugawa rushwa.

Chadema lazima wajuwe kuwa Bariadi ni wilaya yenye watu wengi sana katika kanda ya ziwa kuikosa ni kupoteza kura nyingi sana.
 
Nakubaliana na wewe ila kwenye red ni Edward Ng'wani sio Joseph Ng'wani. Wanyantuzu ni watu wa misifa i mean kutambiana na wanahusudu sana watu wenye pesa waoga wa polisi kama nini. Chenge na Cheyo wanashinda kwa sababu wanafikiri Cheyo ni tajiri anaweza kuwasaidia wakiwa na shida, Chenge wanamuogopa kwa vile wanadhani ni mtu mkubwa sana serikalini. Nakumbuka enzi za Edward Ng'wani wakati wa uchaguzi alikuwa anakwenda kwenye vilabu vya pombe za kienyeji akifika pale ananunua pombe yote na kuwagawia bure unategemea nini. CDM kuingia kule kunahitaji kazi ya ziada inabidi wawekeze haswa, siasa za Bariadi nazijua sana.
 
Kama ni hivyo basi ntamtuma NYANI NGABU, (Banned)
 
huo mkoa naomba sna tujitahidi maana kweli cdm hatujajipanga kwa kuchukua majimbo hayo tuanze sasa maana watu wakule ni waelewa si kama Morogoro na pwani
 
Asante kwa kunirekebisha kwa hilo jina, Kidogo nakubaliana na wewe kwa miaka ileeeee ya kwetu lakini sio hivi sasa na ukimsoma vizuri Ngonini hapo juu unaweza pata picha halisi ambayo ni recent na haijachakachuliwa, najua wanyantuzu wa leo hii wakimpata mwenzao anayejua kuupepeta vizuri tu bila pesa basi watamchagua, uchaguzi wa 2010 kuna jamaa yetu wa huko tulimbembeleza sana akasimamishe ndevu na Chenge lakini bahati mbaya akahofia pesa ya Chenge
 
Kama kuna mistake ambayo chadema wanaifanya ni kutofatilia jimbo la Bariadi na hasa lile la mjini(chenge). Kimsingi hakuna watu wapenda mageuzi kama Bariadi. Tukumbuke jimbo hili na hata halmashauri ilikuwa ikiongozwa na UDP kwa muda mrefu. UDP ni chama ambacho hakina nguvu tena Bariadi na kinadharaulika na kila mtu ispokuwa labda mwasisi wake(Cheyo).Chenge hana uwezo wa kupambana na chadema ni mtu mwepesi sana maana 2010 alipambana na mtu dhaifu amabaye alikuwa mbunge kwa miaka 10 na watu wakamchoka lakini alirudi akagombea tena na watu walimpa kura wengi tu kwa sababu hawaipendi ccm.

Chenge kinachomweka bariadi ni RUSHWA na ushirikiano na matajiri wa pale bariadi ambao ni wafuasi wa mafisadi. Matajiri wa bariadi ambao wote hawakumaliza hata darasa la saba ndiyo wanaowachagulia wana Bariadi mgombea siku hizi. Kwa kuwa wanafanya biashara kwa kushirikiana na mafisadi wengi wao wako magambani.

Dawa ya Bariadi ni mikutano ya hadhara maana watu wabariadi wanapenda mtu anayeweza kuongea jukwaaani basi. Rushwa wanaweza kuchukua lakini siku zote wanachagua mtu mwenye mvuto. Cheyo huchaguliwa kwa sababu anaweza kutema vijembe majukwaani wakati wa kampeni.Kijana yule wa ccm 2010 alihonga sana lakini akapigwa chini kwa sababu hakuwa na uwezo jukwaaani.

Bariadi inahitaji mtu wa aina ya Vincent Nyerere maana wasukuma ni watu wa utani sana. Ukiwa serious kama alivyo chenge hupati kura kwa wasukuma ni lazima uwe mtu wa vijembe na mvuto. Chenge hupata kura kwa sababu ya udhaifu wa wapinzani wake ila yeye hawezi kabisa kuongea jukwaaani ispokuwa mke wake ndiye huwa anamwokoa kwa kuhutubia na kugawa rushwa.

Chadema lazima wajuwe kuwa Bariadi ni wilaya yenye watu wengi sana katika kanda ya ziwa kuikosa ni kupoteza kura nyingi sana.
Ngonini

Naona kama unaijua vizuri Bariadi, kweli kabisa watu wa Bariadi wanapenda utani utani wewe wapelekee 'mbina' utaona watakavyojazana hiyo strategy ndiyo huwa anaitumia sana Cheyo. Kama unavyosema Chenge hana uwezo wa jukwaani ila anapesa ya kuhonga, nasikia hata uchaguzi uliopita mdogo wake Cheyo Issac alishinda, usiku huo huo Chenge akamtangazia dau la 160+milion cash matokeo yakapinduliwa, kesho yake ndio tukasikia watu wamekatana mapanga kupinga matokeo. Angalia hapo chini kura zilizoharibika ndio utakubaliana na mimi ninachokiongea, hao ni wanyantuzu bana achana na pesa.

SHINYANGA

WILAYA YA BARIADI
BARIADI MAGHARIBI
Candidate

Political Party

Number of Votes

Percentage Votes
CHENGE ANDREW JOHN

CCM
50,107
30
CHEYO ISAAC MANJOMBA

UDP
34,298
20.54
MAKONO THOMAS ZACHARIA

CHADEMA
3,372
2.02
NDULU SHEMU SALUMU

CUF
1,055
0.63
SPOILT VOTES
78,171
46.81
TOTALS
167,003
100
 
Ama kweli bariadi: Chenge na mkewe magaidi wanaingiza sumu za kupuliza (spray) na wanapiga watu balaa, siasa kwao ni vita. Cheyo pesa kwishnei na siasa zake sasa pro CCM lakini mchawi, na pia yuko tayari kuua...uliza Lagangabilili walikufa watu wangapi hadi CCM wakachukua kata. Bariadi a.k.a Simiyu inahitaji wana mageuzi wa kweli na waanze campaign leo wakisubiri 2014 wameliwa..wakati wa mavuno hakuna mnyantuzu anasikia siasa ni pesa tu. Matajiri vijana wa CCM pale balaa wana viwanda na malori ya kina riz1 ndiyo wanatumiwa kuhonga pesa
 
Kama kuna mistake ambayo chadema wanaifanya ni kutofatilia jimbo la Bariadi na hasa lile la mjini(chenge). Kimsingi hakuna watu wapenda mageuzi kama Bariadi. Tukumbuke jimbo hili na hata halmashauri ilikuwa ikiongozwa na UDP kwa muda mrefu. UDP ni chama ambacho hakina nguvu tena Bariadi na kinadharaulika na kila mtu ispokuwa labda mwasisi wake(Cheyo).Chenge hana uwezo wa kupambana na chadema ni mtu mwepesi sana maana 2010 alipambana na mtu dhaifu amabaye alikuwa mbunge kwa miaka 10 na watu wakamchoka lakini alirudi akagombea tena na watu walimpa kura wengi tu kwa sababu hawaipendi ccm. Chenge kinachomweka bariadi ni RUSHWA na ushirikiano na matajiri wa pale bariadi ambao ni wafuasi wa mafisadi. Matajiri wa bariadi ambao wote hawakumaliza hata darasa la saba ndiyo wanaowachagulia wana Bariadi mgombea siku hizi. Kwa kuwa wanafanya biashara kwa kushirikiana na mafisadi wengi wao wako magambani. Dawa ya Bariadi ni mikutano ya hadhara maana watu wabariadi wanapenda mtu anayeweza kuongea jukwaaani basi. Rushwa wanaweza kuchukua lakini siku zote wanachagua mtu mwenye mvuto. Cheyo huchaguliwa kwa sababu anaweza kutema vijembe majukwaani wakati wa kampeni.Kijana yule wa ccm 2010 alihonga sana lakini akapigwa chini kwa sababu hakuwa na uwezo jukwaaani. Bariadi inahitaji mtu wa aina ya Vincent Nyerere maana wasukuma ni watu wa utani sana. Ukiwa serious kama alivyo chenge hupati kura kwa wasukuma ni lazima uwe mtu wa vijembe na mvuto. Chenge hupata kura kwa sababu ya udhaifu wa wapinzani wake ila yeye hawezi kabisa kuongea jukwaaani ispokuwa mke wake ndiye huwa anamwokoa kwa kuhutubia na kugawa rushwa. Chadema lazima wajuwe kuwa Bariadi ni wilaya yenye watu wengi sana katika kanda ya ziwa kuikosa ni kupoteza kura nyingi sana.
Nimezaliwa Bariadi na naifahamu sana Bariadi na nimeshiriki sana katika harakati mbalimbali za kujenga CDM. Chadema walifanya makosa makubwa kumchagua Kijana wa Udom ambaye hakuwa na Mvuto na uzoefu katika siasa. Bw. Makono Ezekia ambaye hata Kampeini hakupiga.
 
Tatizo la Bariadi ni umaskini wa wanyantuzu, wakichinjiwa ng'ombe na pombe za bure ubunge wanampa kama pipi, kumbuka Joseph Ng'wani alikuwa anapewa ubunge kwa kugawa bia wale wa mjini na kule mashambani wanapewa chumvi tu,
Umeonyesha upumbavu wa hali ya juu sana hebu nitajie kati ya majibo tiifu kwa upinzania hapa Tanganyika kama siyo pamoja na bariadi nilikuwepo kampeni za mwaka 1995 anajua Edward alivyokuwa anazomewa na wasukuma na bariadi Chadema inanguvu sana pamoja na kwamba kule ndiyo makao makuu ya UDP na hakuna haja ya kuweka nguvu nyingi kwenye jimbo linalo tawaliwa na upinzani tutakuwa hatuna tofauti na James Mbati labda kule kwa Vijisent...
 
huo mkoa naomba sna tujitahidi maana kweli cdm hatujajipanga kwa kuchukua majimbo hayo tuanze sasa maana watu wakule ni waelewa si kama Morogoro na pwani
Yeah huu mkoa ni mpya kama unavyosema na ni rahisi kuwaelewesha watu wa Simiyu kuliko watu wa Morogoro au Pwani. Kinachotakiwa CDM waangalie ni wapi pa ku-invest, wahangaike na mikoa ambayo hawana uhakika wa kupata kura nyingi au waka-invest mkoa mpya wa Simiyu is up to them.

Navyojua Simiyu ni mkoa wa wapinzani wilaya ya Meatu kule tuna mbunge wa CDM Opulukwa, Maswa imeletwa Simiyu tuna wabunge wawili wa CDM akiwemo Shibuda, Bariadi Mash. tuna mbunge wa UDP Cheyo Momose. Kumbuka vile vile Halmashauri ya Bariadi ni ya kwanza kuongozwa na upinzani mwaka 1995 ikiwa chini ya UDP. Kwenye miaka ya 2000, CUF walitaka kuingia huko (kanda ya Ziwa) kwa gia ya bei ya pamba lakini wakashindwa, sasa watu mategemeo yao ni kwa CDM. So, CDM is your choice twende Simiyu kwa nguvu au twende Lindi kwa nguvu, najua tunataka kotekote lakini lazima tuangalie profit in terms of outcomes.
 
Umeonyesha upumbavu wa hali ya juu sana hebu nitajie kati ya majibo tiifu kwa upinzania hapa Tanganyika kama siyo pamoja na bariadi nilikuwepo kampeni za mwaka 1995 anajua Edward alivyokuwa anazomewa na wasukuma na bariadi Chadema inanguvu sana pamoja na kwamba kule ndiyo makao makuu ya UDP na hakuna haja ya kuweka nguvu nyingi kwenye jimbo linalo tawaliwa na upinzani tutakuwa hatuna tofauti na James Mbati labda kule kwa Vijisent...
Hapana Crashwise, Ngasibara kasema kweli wanyantuzu ni wepesi sana kwa kuhongwa ila si masikini kama alivyosema, hata Cheyo si kwamba anashinda kwa uwezo wake anahonga sana hasa wananzengo na viongozi wa vikundi hasa vya 'mbina'. Ila ninachowapendea watu wa huko wakiamua wameamua ndiyo maana CCM huwa inatumia nguvu sana kuibadilisha Bariadi. Nafikiri CDM ikiwekeza vya kutosha kule Simiyu inaweza kuwa ngome yake kama ilivyo Arusha maana watu wa Arusha na Bariadi (Simiyu) hawapishani sana katika kuhangaikia ridhiki hasa eneo la biashara.
 
Kupotosha Kuwa Bariadi ni Maskini ni Dhambi kubwa, Ina utajiri wa Kupindukia na wala haitegemei vyanzo vya muda kama Madini ambayo yana ukomo. Na wala watu wa Bariadi si rahisi kama mnavyofikifiria, Natambua kuwa Bariadi ni kitovu cha Mageuzi na ni wilaya chache ambazo zilipokea mageuzi katika miaka ya Mwanzo. Ni mikakakti zaidi inahitajika zaidi na wala si nguvu zaidi kumtoa Chenge, naamini M4C inaweza hasa kamanda LEMA akitia mguu.
 
Ngonini

Naona kama unaijua vizuri Bariadi, kweli kabisa watu wa Bariadi wanapenda utani utani wewe wapelekee 'mbina' utaona watakavyojazana hiyo strategy ndiyo huwa anaitumia sana Cheyo. Kama unavyosema Chenge hana uwezo wa jukwaani ila anapesa ya kuhonga, nasikia hata uchaguzi uliopita mdogo wake Cheyo Issac alishinda, usiku huo huo Chenge akamtangazia dau la 160+milion cash matokeo yakapinduliwa, kesho yake ndio tukasikia watu wamekatana mapanga kupinga matokeo. Angalia hapo chini kura zilizoharibika ndio utakubaliana na mimi ninachokiongea, hao ni wanyantuzu bana achana na pesa.

SHINYANGA
WILAYA YA BARIADI
BARIADI MAGHARIBI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
CHENGE ANDREW JOHN
CCM
50,10730
CHEYO ISAAC MANJOMBA
UDP
34,29820.54
MAKONO THOMAS ZACHARIA
CHADEMA
3,3722.02
NDULU SHEMU SALUMU
CUF
1,0550.63
SPOILT VOTES78,171 46.81
TOTALS 167,003 100

Hapa kweli kulikuwa na kitu mbaya kabisa haiwezekani nusu ya kura ziliharibika!
Kama nilivyosema mwanzo bariadi ni rahisi sana kuangukia chadema, ila inahitaji mtu mwenye mvuto kama Lema,Vicent Nyerere, Dr. slaaa, Zitto, Mbowe na wengine kupiga kambi pale bariadi mjini tu kwanza japo kwa siku chache. Pia ni lazima chadema waende kipindi cha mavuno ambapo watu wengi wako kwenye mapumuziko ila ukienda wakati wa kilimo hutawapata maana jamaa wale hawanamchezo na kazi. Kipindi hiki kuna wimbi la vijana ambao wanaunga sana mkono upinzani. Nilipata habari wakati wa uchaguzi vijana walifanya kazi kubwa sana kuwapitisha madiwani vijana wenzao. Walikuwa wanafanya maandamano ya kijiji hadi kijiji wakihamsisha kuwapigia kura vijana UDP na walifanikiwa sana.

Kwa ufupi vijana wa bariadi hawana chama kwa sasa maana UDP ndo inakufa na CCM ndo hawitaki kabisa. Chadema ikienda bariadi ninaimani Vjisenti hatakubali hata kujaribu kugombea tena 2015 maana mziki wake hatauweza.
Chadema has a good chance to takeover bila shaka yoyote. Sumu mbaya ni wale mafisadi wafanyabiashara wanaofadhiriwa na akina riz1 japo ni watu mbumbu hata hawakumaliza darasa la saba.
 
Back
Top Bottom