CHADEMA Kanda ya kaskazini yatangaza tarehe za chaguzi za Mikoa

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
inawatangazia tarehe za chaguzi za mikoa kama ufuatavyo
1) Manyara
29/08/2014-Mwisho wa kurudisha form
31/08/2014-Siku ya uchaguzi

2) Arusha
28/08/2014-Mwisho wa kuridisha form
30/08/2014-Tarahe ya Uchaguzi

3) Kilimanjaro
30/08/2014-Tarehe ya kurudisha form
1/09/2014-Tarehe ya uchaguzi

4) Tanga
30/09/2014-Tarehe ya kurudisha form
02/09/2014- Tarehe ya uchaguzi

Form za maombi ya uongozi nafasi mbalimbali zinapatikana kwenyo ofisi ya mikoa hii wanachama wote mnakaribishwa.

Wenu katika ujenzi wa chama

Aman S. Golugwa.

Katibu-Kanda ya Kaskazini
 
Safi sana chadema,tulianza na mungu na tutamaliza na mungu.Chadema ni chama kikubwa,chaguzi hizi ziwape shule ccm kuwa chadema ni chama cha watanzania
 
Back
Top Bottom