CHADEMA kama wahubiri hivi

Status
Not open for further replies.
tumerogwa hatunaubavu wa kuchukuwa hatua. Kutegemea cdm ije juu eti ishike dola ni kujidanganya kwa ushahidi wa serikali nyingi za africa ni wabishi sana.
Mpaka muachape ndo waondoke.
Tafakari

umetumwa wewe, si bure
 
Nimefuatilia upigaji wa kampeni za vyama mbalimbali.
Chadema; hawa jamaa hasa mbowe na slaa na zitto, wao ni makelele kama wanahubiri injili vile. Kwani ukiongea point ndo mpaka ufokefoke ndo ueleweke???

Ccm; hawa wanaongea pumba lakini kwa upole wa kuwatongoza wananchi na kutaka kura zao. Mfano ni jk, makamu wa raisi, pinda mizengo nk nk.
Makelele siyo ishu, wengine hatufungamani na upande wowote na tumechoshwa na siasa za tz za uwongo na uchwara.
Wananchi ndo tunaumia tu.
Sipendi kabisa na wana jf mliowanasiasa achenni mbwembwe na kufoka majukwaani. Kwani obama anafoka???
Chadema ndio magwiji wa siasa hapa TZ , Wakianzisha vyama vyote vinafuata. Kwahiyo hata CCM hiyo style wanaipenda na NAPE keshaanza kuiga. Nyie tushawazoea, mliiga Helcopta mtashindwa kuiga na hii!
 
Ukimwona chatu yumo ndani ya nyumba yako anajivua gamba, utawaitaje watu waje kukusaidia kumwua. Si lazima utapiga kelele? La sivyo ukifanya masiara atawamaliza wote wakaao kwenye nyumba hiyo! Tumeumizwa vya kutosha, tumenyanyaswa vya kutosha. Nani apaze sauti na kuwatahadharisha wale wanaonyanyaswa kama si CHADEMA. Tujifunze kwa mbwa anapoona adui. Hakuna sauti ya upole kupambana na dhalimu - chama cha magamba.
 
Nimefuatilia upigaji wa kampeni za vyama mbalimbali.
Chadema; hawa jamaa hasa mbowe na slaa na zitto, wao ni makelele kama wanahubiri injili vile. Kwani ukiongea point ndo mpaka ufokefoke ndo ueleweke???

Umenishangaza sana kwa hoja yako inayomaanisha kwamba Injili ni kama Kelele. Sina hakika wewe unaichukulia injili namna gani?
unaweza ukafafanua japo kidogo?
 
Kweli kabisa!
Wewe uzalendo unao, AKILI huna, unategea tz itabadilika?
mimi sina chama na si mwanasiasa, siasa haina msaada katika hii nchi maskini. nakereka sana wanasiasa wanavyotudanganya hovyo watu wazima. mpaka nafikia mahali simuamini mwanasiasa yoyote coz tu ni mtwanzania. tumejaaliwa roho za kukwamishana tu. wananchi wanaumia sana, nyie mpo mjini hamjaona uhalisia wa tz bwana, kuna watu tunanunua sukari kwa sh. 2500 mpaka 3000 huku nyie mnaishia kupiga makelele tu.
bora siku wanajeshi na wananchi tuingie msituni tu.....hao cdm, ccm, updp and the likes ni wahuni tu, wote wanaroho za kitanzania, hakuna mwenye uchungu na hii nchi.

wa tz tunakosa vitu viwili, 1. akili 2. uzalendo.
 
Ukishasema makelele kama injili, tayari umeshajisemea wewe ni wa aina gani na bei gani.

ubwabwa na azam cola ya baridi tu kwisha kazi yako.
 
Ukishasema makelele kama injili, tayari umeshajisemea wewe ni wa aina gani na bei gani.

ubwabwa na azam cola ya baridi tu kwisha kazi yako.

Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na CDM!
 
Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na CDM!

Ritz, Chadema inaeleweka, ukitaka unaweza kuielezea pia, Ila naomba maelezo yako juu ya Kanisa,
unaelewa nini juu ya hili neno na maana yake. ukiweza naomba ueleze namna inavyounganisha kanisa
na CDM.

Asante sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom