CHADEMA kama tunataka kupata ushindi kirahisi Tumtumie Dr. Slaa kwenye campaign hata udiwani

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri Slaa lakini bahati mbaya kutokana na mizengwe hakufuka, yaani Wananchi walitaka wamuone tuu harafu apate kura zoote.

CHADEMA mna mtaji sijui kama mnalifahamu hilo viongozi wetu, nawaomba katika kata ya kiwira, Tukuyu hebu tumieni huo mtaji, akitua pale tuu mnayo hiyo kata, nawahakikishieni kwa asilimia zoote mtachukua hiyo kata.

Siyo kuwa sithamini mchango wa viongozi wengine, ila kila mtu ana mvuto wa tofauti.

Nawasilisha
 
true dat.....INBIDI DOKTA WA UKWELI APITE KILAKONA YENYE MAPAMBANO!!! HALAFU VP,HUKO KIWIRA MH SILINDE NA SUGU HAWAJAFIKA?
 
hapana nashauri tusimtumie vibaya Dr Slaa, cdm bado ina watu wengi wa kufanya kazi hizo.
 
kaka hata saizi ninavo coment nimetoka kwenye kampeni za chadema kata ya kiwira kaka hawa watu wote wanamvuto kwasababu wanafunika mbaya hawa wenzao kaka jamii imewatosa kabisa hawana mnvuto kabisa
 
Back
Top Bottom