CHADEMA kama Toyota?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,361
8,789
Miaka michache iliyopita Kampuni kubwa ya kutengeneza Magari Duniani Toyota ilipata matatizo kwa kutengeneza Magari ambayo yalikuwa na matatizo ya clutch na kusababisha wateja wao kupata ajali na wengine kupoteza maisha katika kujitetea Raisi wa Kampuni hiyo kubwa na maarufu Duniani Bw. Aichio Toyoda alisema nafikiri ilikuwa mbele ya Senate ya Marekani yafuatayo:

"Toyota Grew too quickly"

"Quite frankly, I fear the pace at which we have grown may have been too quick" na akaendelea zaidi kwa kusema "Toyota's priority has traditionally been the following: First; Safety, Second; Quality, and Third; Volume. These priorities became confused"

Je kuna mahusiano yoyote au fundisho lolote lile CHADEMA inaweza kuona hapo kati yao na Toyota?
Ninanchomaanisha ni kwamba
Je, CHADEMA wanakwenda kasi sana ambapo kasi yao kama vile Kampuni ya Toyota inaweza kuwafanya wachanganye mambo hasa kwenye mpangilio wa priorities ambapo Toyota walizichanganya na wakati mwingine badala ya kuanza na Safety wao wakaanza na Volume au badala ya Quality wao wakaenda na Volume na matokeo yake hayakuwa mazuri kwa Toyota pamoja na kuwa kwamba mwanzoni walifanikiwa sana!
 
Ulichosahau kusema ni kwamba Toyota walichukua hatua hima kurekebisha kasoro na sasa hivi wamerudi tena kwenye top 3 auto maker duniani.
 
chadema ni chama makini, kama ulitegemea watachanganya mambo nafikiri utasubiri sana
 
Kamwe hatuwezi kufuga wanafiki ili kupata umayer, hongera kamati kuu, hongera cdm!
 
Tatizo ni clutch tu....
wakibadili hiyo moto palepale kk jipange sana...
 
nimeshindwa kulink Idea yako ya clutch na chadema, au chadema tusema ni automatic mfano wako utakuwa na maana?
 
Nafikiri hapa umechanganya mambo...je, yawezekana unaongelea NCCR-Mageuzi? au labda CUF? Kumbuka Chadema haikukimbilia kutaka kukamata dola kwa vipindi viwili, 1995 na 2000. Ni miaka zaidi ya kumi toka kuanzishwa kwake, Chadema ilipoamua kumsimamisha mgombea wa Uraisi. Toka wakati huo nyota ya Chadema imezidi kupanda (angalia 2005 na 2010) wakati vyama vingine vikiendelea kuporomoka . Ngoja tuache porojo tutumie takwimu;
 
Attachments

  • vyama-vya-siasa.jpg
    vyama-vya-siasa.jpg
    108 KB · Views: 55
Hakika chama lazima kiwe na kitengo makini intelligence ili kuepuka mamluki kama akina shibuda
 
Miaka michache iliyopita Kampuni kubwa ya kutengeneza Magari Duniani Toyota ilipata matatizo kwa kutengeneza Magari ambayo yalikuwa na matatizo ya clutch na kusababisha wateja wao kupata ajali na wengine kupoteza maisha katika kujitetea Raisi wa Kampuni hiyo kubwa na maarufu Duniani Bw. Aichio Toyoda alisema nafikiri ilikuwa mbele ya Senate ya Marekani yafuatayo:

"Toyota Grew too quickly"

"Quite frankly, I fear the pace at which we have grown may have been too quick" na akaendelea zaidi kwa kusema "Toyota's priority has traditionally been the following: First; Safety, Second; Quality, and Third; Volume. These priorities became confused"

Je kuna mahusiano yoyote au fundisho lolote lile CHADEMA inaweza kuona hapo kati yao na Toyota?
Ninanchomaanisha ni kwamba
Je, CHADEMA wanakwenda kasi sana ambapo kasi yao kama vile Kampuni ya Toyota inaweza kuwafanya wachanganye mambo hasa kwenye mpangilio wa priorities ambapo Toyota walizichanganya na wakati mwingine badala ya kuanza na Safety wao wakaanza na Volume au badala ya Quality wao wakaenda na Volume na matokeo yake hayakuwa mazuri kwa Toyota pamoja na kuwa kwamba mwanzoni walifanikiwa sana!
From what I know is everywhere you go you have got a big chance of finding the next car to be Toyota.Same can be seen with CDM the next balozi would be CDM,the next bendera ni CDM, the NExt ruling party would be CDM.
 
Hakika chama lazima kiwe na kitengo makini intelligence ili kuepuka mamluki kama akina shibuda

Hii ndio TZ badala wakafananye inteligensia nje na kuweka mamluki kwa majiraniz etu kama zamani ili tushinde kazi kuchungulia ndugu zao.Kuchungulia waingioa ktk choo na babafu ya familia ndio huku kujikuta wakichungulia wazazi na dada zao.

Shibuda nalo litakaa katk jamii likijisifu kuwa limeweza fnaya kitu ch akungamiza CDM?Historia italialaani hadi kaburi lake lipigwe Radi,na si yeye mwenyewe kuna wengi wanafahamika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom