CHADEMA kama honeybadger kwa nyoka, na machine za catapiller kwa mlima

Jaji mkuu sasas nae yupo kikaangano kupoteza reputaion yake.Kes inakwenda sikiliwa dar.Sasa akichemka basi habari ni kwamba atakuwa na wakati mgumu sana kutoa humumu +kuwa kulinda sana reputation yake.
 
CCM wakionekana kutojua wafanyacho CDM inafanya mazungumzo na Watu maarufu ndani ya CCM.Wana CCM wajing ahudai kuwa mtu kam 6 na sumaye si kitu nani sasa atakuwa Kitu?Watu hawa kuw ana mazungumzo na CDM na magazeti kuandika ni plus kwa CDM na majibizano yao na CCM ni another plus.

Na baada ya Muda wakitangaza live kuwa wamehama rasmi(defect), pataanza kuwa na mvua ya watu wakihama,CCM inaweza kufa hata kabla ya uchaguzi bila hata mapinduzi au maandamano kama ya arab spring.

This is CDM, the honey badger.
 
Sumaye ktk kauli zake kwa wandishi wa habari kaonyesha upinzani si uadui, na kuingia upinzani si kosa pia hajakataa kuongea na CDM.Ni wazi kuwa CDM wameapania kuibomoa CCM inside out.Kwanza waliongea na mwoga Sitta katika office za Bunge,huku spika akiwa mwanachama wa chama Tawala na kumpa Jukumu la kuwa na wanachama wenzie wa kutosha.This time Sumaye akiwa na ujasiri wa kiasi fulani naye anasimamia mitazamo chnya yake kuhusu CDM.Hii ni ishara kuwa CDM wana nguvu na Ujasiri wa Sumaye ni mchango kwa ukombozi wa nchi.

CCM km wamelaaniwa vile bado wana discredit uzito wa Sumaye kwa vile hawajaona impact yake kwa ujasiri wa wana CCM wengine ambao wanasubiri kuona mfano kabla y akuvuka mto wa kuondoka CCM kwa fujo kabla ya uchaguzi mkuu huku habari zikienea.Kujipanga kwa cdm ndio silaha yao kubwa.Vincet kutoa TV kuna maanisha kuwa CDM wamejipanga kwa kila kitu na Kutoa TV sets ni kama kumvua CCM nguo mbele ya wananchi.
 
Kilio na kutoaminiana kwa CCM ni wazi sasa wanawakubali CDM kama ni hatari sana pamoja na udogo wa safu ya uongozi.Safu ambayo Sita kwa kutoelewa udogo si udhaifu kaiita ni NYEMBAMBA.Sasa CCM wanaeguana kwa kile wanachokiona kuwa kuna mamluki wa CDM ndani ya chama chao.Hii ni Wazi CCM wameshikiwa mahalai wasipopategemea.

Hili ni fundisho kwa CUF, NCCR na CCM wenyewe kwamba kile walichodhnai hakiwezekani CDM wanakifanya sana tena kwa ufanisi wa hali ya juu.NI wakati CCM wakasurrender na kutangaza amani na CDM na tabia ya kuweka mamluki ikomeshwe kwani wenzao wanaujasiri wa kufanya mazungumzo na mwana CCM yeyote hata ikibidi Rais wa CCM anaweza chukuliwa na CDM.
 
CDM kwa mara nyingine tena hawajahofu kauli ya JK kuwa wana ccm watembee kifua mbel na wapite nyuma ya m4c kureverse wanchokiita uongo, CDM haijaogopa ujenzi mpya wa halamashauri kuu ya CCM.BAdo CDM wanaisambaratisha kam walivyofanya mjamaa aliyepata kichaa chakijamaa na kuamua ogelea ktk ubepari huku akiw ana uniforma za kijamaa ,huyu si mwingine ila ni Mkama.
 
Its time CDM watumie nguvu zao kuiboa CCM, kuwachanganya hadi mwisho ktk kila front.Kama Chama kinaweza anzisha miradi inayoweza support watu fulani si mbaya sasa mkaanza kuwachomoa kw amapango maalumu in public rallies, wakati kizidi pandikiza mamluki wa hi profile ktk magamba, na ikibidi mnakuwa mkiwachomoa baadhi strategically li kuongeza panic kwao.
 
The badger cant die that easily.Tayari CDM wamesha save hiyo plot,sasa kazi ni kwa CCM.Mbaya coincidence ni ushindi wa Lema uatakaofunika mengi, utakaorudisha imani ya wana arush ahata wale waliokuwa hawapendi tena siasa.

Sasa ni mwisho wa mamluki wa hii nchi, sasa mamluki wengine watalipa fortune ya maisha yao ktk kesi.Wengine watapata kipindi kigumu kujiweka sawa baad ay amaisha yao kisiasa kuisha vibaya.Hii inaonyesh jinsi gani badger hana mercey wala fear.

CCM hawajaweza fukuza mafisadi sasa watashuhudia Zitto akiondoshwa rasmi ktk CDM, ajiandae kwenda NCCR mageuzi au hata CCM.Political chase aliyokuw akiataka cheza imeishia kuwa mazingaombwe.madiwaniw a CDM sasa wanalia watalipa vipi fidia za mahakama wakati tayari kesi zilishwamalisha?

Wanaofuatia kesi ya Lema wanaojiita wapiga kura nao watalipa vipi hizo hela?Move za CCM zimethibitisha kuw ani test tuu kwa CDm ili wananchi wakikubali kuwa ni chama makini.Ni truly Tenacious miniature creature that will never be threatened.


Soon kinachofuatia ni downfall ya CCM.Chadema watasimamaia majukwaani plot zote za CCM halafu watawauliza wananchi nini tena kimebaki CCM cha kuaminika?
 
The badger cant die that easily.Tayari CDM wamesha save hiyo plot,sasa kazi ni kwa CCM.Mbaya coincidence ni ushindi wa Lema uatakaofunika mengi, utakaorudisha imani ya wana arush ahata wale waliokuwa hawapendi tena siasa.

Sasa ni mwisho wa mamluki wa hii nchi, sasa mamluki wengine watalipa fortune ya maisha yao ktk kesi.Wengine watapata kipindi kigumu kujiweka sawa baad ay amaisha yao kisiasa kuisha vibaya.Hii inaonyesh jinsi gani badger hana mercey wala fear.

CCM hawajaweza fukuza mafisadi sasa watashuhudia Zitto akiondoshwa rasmi ktk CDM, ajiandae kwenda NCCR mageuzi au hata CCM.Political chase aliyokuw akiataka cheza imeishia kuwa mazingaombwe.madiwaniw a CDM sasa wanalia watalipa vipi fidia za mahakama wakati tayari kesi zilishwamalisha?

Wanaofuatia kesi ya Lema wanaojiita wapiga kura nao watalipa vipi hizo hela?Move za CCM zimethibitisha kuw ani test tuu kwa CDm ili wananchi wakikubali kuwa ni chama makini.Ni truly Tenacious miniature creature that will never be threatened.


Soon kinachofuatia ni downfall ya CCM.Chadema watasimamaia majukwaani plot zote za CCM halafu watawauliza wananchi nini tena kimebaki CCM cha kuaminika?

Ndugu Nicholas. Huku nikigonga safari ya sita kusheherekea mbunge wangu kurudishwa kundini umeniacha hoi sana kwa comments zako. Well analysed and concrete samples.

Safi sana na nitaendelea kuifuatilia.
 
Ndugu Nicholas. Huku nikigonga safari ya sita kusheherekea mbunge wangu kurudishwa kundini umeniacha hoi sana kwa comments zako. Well analysed and concrete samples.

Safi sana na nitaendelea kuifuatilia.

Kila mtu mpenda haki na democrasia ya kweli anafurahia sana siku ya leo.Mimi ni po na familia wametoka safari leo .My little baby alipofika tuu aliniuliza peoples power.Ile "Anthem ya CDM", huw ainania purpose to live, wakati dead CCM inanipa so many reasons kwa nini nisiwe rebel.
 
The badger is back, soldier katokea katika mkutano tayari tumoil imeanza si serikalini tuu hadi jeshini.tratibu jeshi linapewa nafasi ya kujitathmini na kutumia akili zaidi ya adrenaline.Kujiuliza kama kapotea njia, kapenda mkusanyikowa CDM?kaamua saidia ulinzi wa nchi kwa vile polisi hawakuwepo na kutokuwepo kw apolisi au ushokozi wa polisi unaweza leta hasira nchi nzima na hivyo kuharibu amani ya nchi.Soldier kajitolewa saidia hilo.Ni sehemu ya majukumu ya wanajeshi kusaidia raia pakiwa amani.Wanajeshi wamewahi jiuliza kwanini walitembea dar kipindi cha akina Ponda?Nani kawaambia jeshi linahitajika kuingilia dini?Jeshi zaidi y akupigana vita hawana Watapewa muda wa kupewa majibu na vijana wao wenyewe na si Lema wala dr. wala Mbowe.CHa kunifurahisha tayari CCM wameshaanza toka jasho wanahisi ni DEFECTIONS, sasa hivi memo zitapita nyingi sana.EL atakuwa akijiuliza reputaion yake kam mwenyekiti ,kapigw abao vipi, vijana wana affiliation mbali kabia na uwekezaji wake pale monduli. Its funny Jeshi lilipoingizwa ktk majaribio, sasa kauli zao ndizo zitaamsha fikra za vijana ktk jeshi.Huyo ni Lema, A-towner wa pekee,copy yake hakuna labda mwanae.Viongozi wa jeshi whapo walipo wanaomba Mungu hilo tukio lisingetokea.Kwa sasa chochte watakachosema ni kama binti yako kupewa salamu na mwanamume mbele yako na hali kuwa kama moto ktk petrol ya fikra za huyo binti yako,reaction yako yoyote ni msaada wa kumsukuma binti kwa huyo mwanamume mkware. Mkware Lema kaona kapokea binti na kumpa salamu bil akujali kavaa uniform sasa kazi kwa baba kusema chochote ch akumsaidi abinti kumwangalia Lema vyema.Au kuwakaribisha wenzake waje msaidia kuokoa penzi la moyo wake lisiingilie n ayeyote kiwepo baba yake. Viongozi wa jeshi waseme chochote, wafanya chochote, tayari wanajeshi wameshaanzisha,hakuna tena wakufuta ktk fikra zao.Masikini wewe, halafu jeshi wasisahau kuwa wanatrain wapenda kifo,wasisahau kuw ana sababu za kufa au kutokufa haziondoi ukweli kuwa ukipenda jeshi na vita upende, ukipenda vita n akifo unapenda.so Jeshi lisifikri sana kutishiwa hwa jamaa kwa kifo. Soon tutaona wengi zidi wakisema wanastaafu halafu kesho yake wanasimama jukwaani na CDM nadhani CCM watbadili tone na kuongea lugha safi kidogo.Kwa analysis yangu akina shimbo na CCM wameshongea mengi sana y akuwafanya vijana na wazee jeshini kuwa na mazungumzo ya kisiasa,n aukongelea siasa Bongo lazima uongelee CDM.
 
bado naona fahri kuwaita CDM: "Badgers" mabaharia wana fahamu msiki wa zile boat ndogo zinazosogeza meli ktk bandari, watu wa wanayama pori wanafahamu sana badger mwenyewe mziki wake porini, binadamu waliowahi kutana nae mazingira hawawezi pata chakula zaidi ya kuiba kuku.Wengi kudhani ni mnyama from hell. CDM kwa Tanzania ni badgers, mziki wake hakuna kihiyo ana survive hata kama anatisha vipi.Sasa hivi nchi yetu inajibidi kuwajibishw akila idara na huyu badger bila kutishana, kwani badger wala hana muda wa kuogopa na kujiuliza.
 
What matters is not the size of dog in a fight but the size of fight on the dog-Liwaingie kichwani wote wenye kudhani nchi ni ya kunajisi kwa vile wanajiona wana mabavu.
 
Bado CCM wanadhibiwa na kujitega kwa mipango haramu waliyoipanga wenyewe.The badger hana shida na sumu ya nyoka ila nyoka mwenyewe ndio anamtaka.

Nasikitika kiri CDM wapo resistant enough kushinda hila za CCM na kuwaangusha bila hata kupeleka mashambulizi ya kulipiza.

Kwa mwendo huu maslalia wote watajitoa kinyonge sana, kuanzia shibuda, atakuja Zitto, mwenyewe, Mkumbo, kwa aibu na kishindo kikuu kitakachoboost sana CDM.
 
Nyoka ccm kang'ata kwa nguvu zote mwili wa badger ccm akidhani kuwa (sumu ya UGAIDI)atamua na kupona.badger huwa hajali kwa vile hajuia hata km nyoka ana sumu,kwani maisha yake yote anakula nyoka na kuumwa sana. Ila mwishowe nyuka huwa kitoweo.

Cdm sasa wapo addicted na kitoweo ccm snakes wenye akili za nyumbu.

Hakuna wa kubisha kila kitu kilikuwa predictable.ccm wangezingatia hii thread wangekaa mbali na cdm ili wakajhfie natural death 2
015 na kufa kwa kuliwa tokea mkiani huku wakishughudia sumu yao hahfanyi na nafasi ya kuuma wamepewa.
 
Nape na magamba wengine hawajiamini wakiwa na chadema.tayari hata mgusa cdm wanahisi km kumnusa simba mdomo.

Nape kanimaliza alipoanza lia kuwa wameambiwa nchi haitotawalika.ni isha ya kukubali yaishe.
 
Badger anakula lunch "Kinana","dinner" itakuwa nyoka aitwaye 6,wakati Nyoka wa ndimi mbili tayari yupo ktk target.
 
Back
Top Bottom