Chadema juu,...kata ya Mtibwa..!

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
..Kaka yangu ni diwani wa CCM huko Morogoro amenipa habari kuwa Chadema wametetea kiti cha udiwani kata ya Mtibwa..,pamoja na hila na uwepo wa Viongozi wote wakuu wa CCM wa Mkoa lakini nguvu ya UMMA imeshinda..,ila amefurahi pia na amesema CCM inakufa...!
 
Muongo wewe, mshindi ni wa ccm anaita Imani Gumbo, cdm wameambulia kura 102 dhidi ya 1,495 za chama dume CCM
 
mbona mnatuchanganya sana kama wewe ulikuwa unajua matokeo kama unavyodai kwanini ulikuwa kimya mpaka huyu ndugu mwingine alipotangaza kuwa chadema imeshinda ndipo ulipoibuka na kudai otherwise sasa sijui tumuelewe nani mkweli.
 
Niamini mimi. Hutaki unaacha
 
Muongo wewe, mshindi ni wa ccm anaita Imani Gumbo, cdm wameambulia kura 102 dhidi ya 1,495 za chama dume CCM
Acha uzushi...Chadema wameshinda kwa kura nyingi kama 3000 dhidi ya 2000 za magamba sina idadi kamili but roughly ni hivyo.., na Source ni diwani wa Gairo kwa Chadema na jamaa wangu yupo Dumila..,Magamba wameshinda Mahenge..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom