CHADEMA jimbo la Ukonga kufanya uchaguzi tarehe 24 Agosti, 2014

maswamediacentre

Senior Member
Jan 7, 2014
160
21
Chama demokrasia na maendeleo (CHADEMA) jimbo la Ukonga kitafanya uchaguzi mkuu wa chama ngazi ya jimbo. Kwa mujibu wa katibu wa jimbo hilo KAMANDA Juma Mwipopo, alisema maandalizi yote ya uchaguzi huo yamekamilika na majina yote ya wagombea wa nafasi mbalimbali tayari yamebandikwa kwenye mbao za matangazo.
 
Back
Top Bottom