CHADEMA jimbo la Segerea yapata viongozi wapya,wasomi na makini

Kaweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee je mbona kimya

Kawe shughuli zinaendelea kama kawaida, hata jumamosi kulikuwa na mkutano wa hadhara kawe ukwamani.

Kama unakaa maeneo ya kawe jitahidi weekend kufika ofisini utapata ratiba zao.
 
Sasa badala ya kuleta taarifa tu ya viongozi wapya wewe unaleta na majungu juu!! anyway hao viongozi wanaotaka kwenda CCM ni akina Mtopea?
Nadhani hao hawaijui vizuri CCM, CCM ina uchaguzi wake wa ndani mwaka huu, ukitaka cheo kuanzia ngazi ya tawi uwe na millioni 3, ngazi ya kata uwe na millioni 10, ngazi ya wilaya uwe na millioni 100 na ngazi ya mkoa uwe na millioni 300.. ngazi ya Taifa huwa haina uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wao huwa hakuna fomu za kugombea wala katibu mkuu.
 
Vipi Mwita Maranya naye kajiuzulu? Nasikia ana mpango wa kuitukana Chadema jukwaani.

Hivi haka ka-Sweety nako kamo kwenye pay roll ya propaganda ya NN?? Kama ni kweli then wameanza kukosa wat wa kuwaajiri au pesa zinaanza kuwa ngumu!! No wonder, FF haonekani sana humu kama zamani na Ngongo u-radicle unaanza kupungua wakati Rejeo anabangaiza taratibu huku speed ya MS inaapproach zero!!!!!
 
Kweli Rejao kwishney, Ritz ameanza kua na adabu, FF kala BAN, Barubaru na Zomba maji yamefika shingoni wapo katika process za kuaga moja kwa moja . na hiki ki Radhia kina undugu na Mama Kilango
 
Sasa badala ya kuleta taarifa tu ya viongozi wapya wewe unaleta na majungu juu!! anyway hao viongozi wanaotaka kwenda CCM ni akina Mtopea?
Nadhani hao hawaijui vizuri CCM, CCM ina uchaguzi wake wa ndani mwaka huu, ukitaka cheo kuanzia ngazi ya tawi uwe na millioni 3, ngazi ya kata uwe na millioni 10, ngazi ya wilaya uwe na millioni 100 na ngazi ya mkoa uwe na millioni 300.. ngazi ya Taifa huwa haina uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wao huwa hakuna fomu za kugombea wala katibu mkuu.
Hiyo ndio demokrasia ya CCM wameharibu nchi,itatuchukua muda mrefu sana kumaliza huu mzizi wa ujinga
 
Wasomi makini! hata wenye kashfa mbali mbali ni wasomi pia! we masuala ya Fedha na uenyekiti wa chama cha siasa wapi na wapi? Umepima wapi huo umakini wao!
 
Asante Kiongozi kwa taarifa.

Kila la heri timu mpya, wakumbuke cheo na dhamana. Wasiwe wabinafsi, wanafiki na waepuke majungu = CDM is future of TZ.
 
Back
Top Bottom