Chadema jimbo la nzega waanza harakati za kulikomboa jimbo hilo rasmi ifikapo 2015

allydou

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
1,603
1,060
Jimbo la Nzega litakombolewa rasmi 2015, kamanda mpiganaji, experienced proffesianal engineer ( jina namhifandhi kwa sasa) tayari ameshaanza kazi nzega akishirikiana kwa karibu na viongozi wake wa jimbo la nzega kupitia CHADEMA, mpaka ifikapo 2015 magamba watakuwa wameshasahaulika nzega, Operesheni sangara ilikuwa iwe imeshaanza ngazi ya jimbo, mkutano wa uzinduzi ulikuwa ufanyike tar 4 mwezi huu nzega mjini, then opresheni ingeendelea kwenye vijiji na kata zote, Polisi wakazuia kutoa vibali bila sababu za msingi. as we stand, tayari viongozi wa CHADEMA nzega wameshakubaliwa kuanza mikutano yao anytime they want, OCD amesurrender na ameomba msamaha kwa yaliyotokea baada ya kuonyeshwa kimakosa press conference waliyofanya viongozi hao wa jimbo pamoja na kijana huyo mpiganaji kabla haijafikishwa kwenye media( Channel ten).

lets wait for the good news to come from nzega the soonest possible.

nitaendelea kuwataarifu kinachoendelea huko
 
Kwa hii spidi nadhani ule usemi wa Pinda kuwa "HII PEOPLES POWER INATUKOSESHA USINGIZI INATIMIA" kazi nzuri makamanda...nadhani hii vita iwe kotekote,kwenye mitandao ya kijamii tumeshika sio FB,JF,twitter nk,sasa tuingie kwenye vita vya ardhini kwa spidi kubwa zaidi..nadhani hawa jamaa watakufa kwa presha,usije shangaa badala ya kuwatoa kama Misri au Tunisia watatoka kwa magonjwa.....
 
Juhudi zenu ziendelee kwa sana kama ambavyo Kamanda Silinde anavyofanya kule Tunduma, Kamanda Sugu anavyofanya pale katika taifa la Mbeya, Kamanda Lema anavyofanya kota kanda ya Kaskazini na Mch Msigwa kule Arusha.

Lakini kule mkoani kwa na rafiki yangu Kamanda wa ukweli Zitto Zuberi Kabwe kazi bado hajafanya vya kutosha kutuhakikishia viti vyote vya ubunge kule Kigoma; Mkuu kama nakuonea useme tu.

Kazi iendeleee na Nguvu ya Umma siku zote iwe mbeeeeeeeele kama tai katika kweli, haki na kutetea utu wa kila Mtanzania.
 
Huyu kamanda si jamaa mmoja anakwenda kwa jina la K.Bundara?ama ntakuwa nakosea,kama siye naomba kosolewa ila endapo ni yeye basi ni jembe ninalolifahamu vizuri,mwanachama wa kweli na kwa sasa ni mwalimu hapohapo wilayani maeneo ya Nata kama unaelekea Shy town

Kwa vyovyote vile naamini 2015 CDM inakamata pale Nzega
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom