Chadema iwapige marufuku TBC kujihusha na maandamano, mikutano yao

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Hivi inawezekana kwa Chadema kuwapiga marufuku TBC wasijihusishe kabisa na maandamano na mikutano ya chama hicho kwa ajili ya kutangaza kwenye TV yao na radio?

Nadhani imefika wakati Chadema wakachukuwa hatua hiyo kwani ni bora kutotangazwa na TBC kuliko kutangaza kwa namna ya kuchakachua habari, matukio, uwingi wa watu etc etc. Haina tija yoyote.

Nakumbuka katika miaka ya tisini, CUF waliipiga marufuku TVZ kwa kuchakachua mikutano yao ingawa kulikuwapo mvutano kidogo kuhusu marufuku hiyo.
 
Back
Top Bottom