Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Mara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia madarakani itakubali vyama vingine kama ccm,cuf na tlp kufanya maandamano yanayo pinga chama na sera?
Je cdm itakubali kukoselewa kama inavyofanya kwa ccm.Pia cdm itakuwa tayari kuajibishwa na kufanya uamzi mgumu ambao vyama vingine hapa Afrika vimeshindwa?