CHADEMA itaweza kukaa meza moja na CUF?

Halafu nimegundua wale washabiki wengi wa Chadema ni watu wanaopenda ubaguzi, udini, na Ukabila. Hiyo kweli, CCM wakimsimamisha Mkatoliki utaona watu wote hapa wanatoka Chadema na kwenda CCM. Sasa hivi, kuna wanachama hao hao wanaoipenda Chadema, wanaandika kwamba Lowassa ndiye awe mgombea wa CCM 2015 ili wapate kumpigia kura.

Dr. Slaa kaingizwa mkenge na hawa jamaa.

usipende kujipachika majina tu..... tafuta maana kwanza
 
CUF 's is a man or a woman or a child who looks forward to a better day, a more tranquil night, and a bright, infinite future. while CHADEMA is a man with two perfectly good legs who, however, has never learned how to walk forward. one night he fall in to a sleep and had dream he's chasing a lion since then he believes he's capable to chase a lion.

"""The high sentiments always win in the end, the leaders who offer blood, toil, tears, and sweat always get more out of their followers than those who offer safety and a good time. When it comes to the pinch, CUF are heroic."""
 
Yaani wewe haujui maana ya serikali ya mseto, ni kusema kuwa nchi zote ambazo kuna serikali ya mseto hakuna upinzani, guys mnajiaibisha mpaka basi, wakongwe wanawaangalia mnvyomwaga sumu humu

That means chadema ilivyokuwa na umoja na ccm kigoma, then hawakuwa wapinzani tena??

mbona mnapotosha umma na kujiaibisha, mabadiliko ya katiba tunataka nini sana sana kama siyo vitu kama serilai ya mseto, mbona mnaweka room ya ccm kutawala milele?
Acha kuweka takataka hapa wewe. Lini Chadema walikuwa na ndoa na CCM? nyie ndio huwa tunapiga uko mitaani kwa uzushi. Nilitaka nikutukane lakini nime reserve tusi lenyewe.
Chadema kigoma hawakuwahi kuwa na ndoa na CCM bali wote walikuwa kwenye council moja! kama leo hii ilivyo kwenye council nyingi msimu huu wako wote pamoja. Issue hapa ilikuwa ni kwamba wote walikuwa 50/50 na ikabidi kila chama kishikilie usukani kwa miaka 2 na 1/2. Tena kila chama kilipokuwa madarakani chama kingine kiliendelea kuwa cha upinzani na kila chama kilipotoka na kingine kuingia madarakani kingine kile cha mwanzo kilikuwa chama pinzani. Hakuna ndoa yoyote hapo kama ya CUF na CCM leo. Kwa kujifunza kwenu siasa mmeanza kuibia mitihani.
Miaka mingi iliyopita nilikaa dawati moja na jamaa shule alipenda sana ku copy kila kitu toka kwangu kila tunapofanya mitihani na nikawa namkomesha kwa kuandika kwanza uongo na kumuachia akopi na baadaye nilijibu mambo vizuri na kwa kudhani amefaulu kwa kuwa nilikuwa nakuwa top darasani akadhani amepata kumbe aliendelea kuwa wa mwisho tu. Hili ndilo limewakuwata CUF. Waliangalizia majibu kwa Chadema kumbe wamepigwa chini. Hamna kitu kama ndoa yoyote imewahi kuwapo ya Chadema na CCM bali tulikuwepo kushuhudia ndoa ya mkeka CUF akiolewa na CCM Zanzibar. Kisha Seif bila aibu anashauri watu tukaangalie ndoa yake inavyoendelea.
Tumekusudia kujenga upinzani wa kweli utakaoiondoa CCM na CUF madarakani.
 
Back
Top Bottom