Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.

Yasiyowezekana kwa Mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.

Sina uhakika kama wewe ni mmoja wa makamanda. Vinginevyo, kama wewe ni kamanda your loyalty to the Party is questionable!!!
 
Mr Job Seeker we kumbe ni MwanaCDM ndio maana umeanzisha thread kule ya kukiponda chama tawala CCM. Ulikuwa Mwanza sasa umeamia Zanzibar eti Chadema itashinda. Umeweza kuwafariji wenzio hapa na wanakuona wa jikoni kweli huko Uzini kumbe unacheza na key board kwa taarifa za kusadikika.Teeeeh....teeeeh, tusiwe washabiki ama kufanya itikadi zikatuziba macho na masikio.POA

upupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Uzini wataikataa CDM kwa vile Lisu alisema Wazenji wanadekezwa hivyo watakuwa wameikacrikia CDM! Ila Chama watakuwa wanalikubali!
 
Mleta mada ungetuletea taarifa huku ukithibitisha kwa analysis kidogo ili tupate picha namna gani umetathimini ushindi wa CDM
 
CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.

basi kama uzini ni kama igunga ngoma itakuwa rahisi kwa cdm maana huko igunga haikufahamika kabisa na kilichotokea kila mtu anajua.. naamini zile vurugu za ccm igunga hazitakuwepo uzini hivyo cdm kuchukua kwa urahisi bila mizengwe..
 
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar

kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini

wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura

kufanya mabadiliko positive uzini !! hakuna ccm wala Cuf ni

CHADEMA tuuuuuu

Natangaza kwa wale waliosema hapa Jf kuwa watajinyonga,watatembea

uchi jamani waanze sasa hivi ?????????? chadema tutaiongeza uzini kwa

maanufa yao wenyewe !!!!!!!!!!

Kumbuka kuwa maneno hayafi bali yanakuwa.

Tazama usije kusutwa siku ZEC ikitoa majibu na watu kushangilia pale round about michenzani.

yetu macho.
 
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar

kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini

wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura

kufanya mabadiliko positive uzini !! hakuna ccm wala Cuf ni

CHADEMA tuuuuuu

Natangaza kwa wale waliosema hapa Jf kuwa watajinyonga,watatembea

uchi jamani waanze sasa hivi ?????????? chadema tutaiongeza uzini kwa

maanufa yao wenyewe !!!!!!!!!!

hizi ni ndoto za mchana! Chadema wao wazidishe nguvu bara visiwani kumejaa uzanzibara na udini! Plain simple..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom