Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar

kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini

wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura

kufanya mabadiliko positive uzini !! hakuna ccm wala Cuf ni

CHADEMA tuuuuuu

Natangaza kwa wale waliosema hapa Jf kuwa watajinyonga,watatembea

uchi jamani waanze sasa hivi ?????????? chadema tutaiongeza uzini kwa

maanufa yao wenyewe !!!!!!!!!!
 
tunashukuru kwa taarifa mkuu'ccm wao wamemtuma nani huko au hawalitaki hilo jimbo?
 
Mtujuze taarifa raha hizi jamani, nchi ya ahadi ileeeeeeeeeeeeeeee! Tumeisogelea, tumeifikia, na sasa kazi kwetu ni kuuzunguka mji kwa siku tatu zilizo baki, na siku ya msiho tuzunguke mara zote na kupiga makelele ya shangwe kwa kuwa maadui wetuCCM wametiwa mikononi mwetu.

Chadema for Tanzania 2015
 
kama Chadema ikishinda hilo jimbo!CCM na CUF ndio waandike maumivu!hivi MS siku hzi mbona post zako hazionekan?au unaingia kivingine?husikiki kabisa jamvini.
 
Mhmh, tusubiri tuone, ila kushinda katika uwanja wa CCM na tume ni ya kwao inahitaji mafunzo ya hali ya juu ya kulinda kura kwa wana uzini...
Znz chadema hata wasipoweka waangalizi kama ni kushinda watashinda maana vita ya cuf na ccm hakuna atakayekubali kura ya chadema iibiwe kwa manufaa ya adui yake labda tu waseme kura ya chadema imeharibika
 
kama Chadema ikishinda hilo jimbo!CCM na CUF ndio waandike maumivu!hivi MS siku hzi mbona post zako hazionekan?au unaingia kivingine?husikiki kabisa jamvini.

Ndiye mwenye ID king anaeandika utumbo sana
 
MS usiingie kivingine bana!tunapenda kusoma unavyoandika!hata waheshimiwa wanakufahamu kwa ID yako ya Ms!mbona dada yetu FF haingii kivingine,though siku hz kapunguza vapour.
 
kama Chadema ikishinda hilo jimbo!CCM na CUF ndio waandike maumivu!hivi MS siku hzi mbona post zako hazionekan?au unaingia kivingine?husikiki kabisa jamvini.

Ban ya maisha imemkumba...nashukuru mods wametupunguzia kero na nyuzi zisizo na tija toka kwa huyu mtu.
 
Mr Job Seeker we kumbe ni MwanaCDM ndio maana umeanzisha thread kule ya kukiponda chama tawala CCM. Ulikuwa Mwanza sasa umeamia Zanzibar eti Chadema itashinda. Umeweza kuwafariji wenzio hapa na wanakuona wa jikoni kweli huko Uzini kumbe unacheza na key board kwa taarifa za kusadikika.Teeeeh....teeeeh, tusiwe washabiki ama kufanya itikadi zikatuziba macho na masikio.POA
 
Mtujuze taarifa raha hizi jamani, nchi ya ahadi ileeeeeeeeeeeeeeee! Tumeisogelea, tumeifikia, na sasa kazi kwetu ni kuuzunguka mji kwa siku tatu zilizo baki, na siku ya msiho tuzunguke mara zote na kupiga makelele ya shangwe kwa kuwa maadui wetuCCM wametiwa mikononi mwetu.

Chadema for Tanzania 2015

Mbona2015 ni mbali! ngoja uone, kaka!
 
Mr Job Seeker we kumbe ni MwanaCDM ndio maana umeanzisha thread kule ya kukiponda chama tawala CCM. Ulikuwa Mwanza sasa umeamia Zanzibar eti Chadema itashinda. Umeweza kuwafariji wenzio hapa na wanakuona wa jikoni kweli huko Uzini kumbe unacheza na key board kwa taarifa za kusadikika.Teeeeh....teeeeh, tusiwe washabiki ama kufanya itikadi zikatuziba macho na masikio.POA

Naona mkuu imekuuma huyu jamaa kueleza ukweli au ni vapour tu mkuu?
 
CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.
 
Lazima watu tujifunze kuwa lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana! Hakutakuwa na mshangao chadema kushinda Zenj maana Mungu akisema ndiyo mwanadam wewe ni nani hata useme hapana?
 
Safi sana endelea kutujuza cause kama kuna ishara ya ushindi huko Uzini ni ishara tosha sasa kwamba magamba safari imewafika,wajiandae kukimbilia comoro.
 
Back
Top Bottom