Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Hahahaa ritz anapenda hadi avatarhee we msukule upo.................sasa una ni pm unanipenda me nikupeleke wapi koma
Hahahaa ritz anapenda hadi avatarhee we msukule upo.................sasa una ni pm unanipenda me nikupeleke wapi koma
Hahahaa ritz anapenda hadi avatar
Dr Slaa amesema Pia alisema chama chake kimejipanga kutoa elimu kubwa ya uraia kwa wananchi wa Arumeru mashariki kupitia kampeni SOURCE:MTANZANIA
huu ni mtihani mkubwa sana kwa ccm'wanatamani wajitoe kwenye hicho kinyan'ganyiro'wameru ni wajanja kinoma
Ama kweli huyu babu ameanza kuwa mufirisi ktk siasa. Elimu hiyo mpaka asubiri kampeni ndio anaona ina umuhimu kwa watanzania? Tamaa ya jimbo ndio inayomsukuma na sio dhamira ya dhati ya kuwasaidia wananchi
Ritz hutoi ahadi ya Kutembea Uchi???
Dr Slaa tuhakikishie hauta toa kisingizio chochote Arumeru baada ya kushindwa Chadema! Maana kwa Visingizio wewe Padri hujambo,utasikia oooh NEC imeibeba CCM,mara oooh Chadema haitakata tamaa na safari yake ya Ukombozi wa kweli wa Tanzania! Ushindi Arumeru Mashariki ni Lazima! CCM Oyeeeeeee!
Dr Slaa tuhakikishie hauta toa kisingizio chochote Arumeru baada ya kushindwa Chadema! Maana kwa Visingizio wewe Padri hujambo,utasikia oooh NEC imeibeba CCM,mara oooh Chadema haitakata tamaa na safari yake ya Ukombozi wa kweli wa Tanzania! Ushindi Arumeru Mashariki ni Lazima! CCM Oyeeeeeee!
Hahahaa ritz anapenda hadi avatar
Igunga tuliambiwa tutashinda,uzini wakasema tuna uhakika wa kushinda leo tena arumeru anasema anatuhakikishia atashinda.....
Mzee awe anakumbuka maneno yake ambayo mengi yamemtokea puani.wameru ni watu makini sana...
matokeo ya arumeru hayatakuwa na tofauti sana na ya igunga na uzini.
Ama kweli wewe unaonekana uwezo wa akili yako kwa ulichoandika
Halafu igunga aliwaongoza vijana wake kukimbia kimya kimya hata tamko sikuona
Kama ni madhaifu kuwa wananchi hawana elimu hiyo anayotaka kuitoa atakuwa aliyaona toka uchaguzi wa mwaka juzi sasa alikuwa yuko wapi mpaka asubiri tena uchaguzi? Hilo ndilo ameona akatunishie mishipa ya shingo kwenye majukwaa?
Uwezo wako wa kufikiri unazidi kujidhihirisha