CHADEMA itangaze UADUI na CCM!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Katika harakati za kulikomboa taifa letu CDM ndo mkombozi pekee aliye bakia!
Nina wasi wasi iwapo CDM wamegundua kuwa CCM ni adui wa UKOMBOZI wa taifa letu!
Nahisi hali ya kulemba, naona CCM inawalisha PIPI za kulevya na kupumbaza viongozi wetu wa CDM.

Mfano mzuri ni jinsi CCM inavyofungua kesi na kufanya unyanyasaji dhidi ya viongozi wa CDM.
Baada ya M4C chadema itangaze rasmi mchakato mpya wa kuiona CCM kama ukoma na kutoiamini
kwa chochote inachofanya kwa sasa ikiwemo mchakato wa katiba mpya na tume ya JK.

CCM haina nia ya KUACHA UFISADI NA MAFISADI WAKE WAFUNGWE kwa kuiachia nchi iwe huru.
 
Hakuna haja ya CDM kutangaza uadui!
Adui huwa anajitangaza mwenyewe kama CCM wafanyavyo sasa.
Wanatoa ahadi za uwongo, ufisadi, kuchonga kesi uongo dhidi ya viongozi wa CDM, Lusinde kwa sana majukwaani, polisi wa ccm kuuwa raia bila hatia, kuiba kura, umeme wa shida, mfumuko wa bei, n.k.
Inatosha kabisa kuwa adui kwa wapenda haki chalii wangu!
 
Back
Top Bottom