Hata mimi nashangaa viti 23 wamewafunika wenye viti 200 jiulize wana kasoro gani hao 200 mbona hawasikiki.Hivi Chadema ni viti 23 tu!, duhh wanakelele hao, mie nilifikiri wana japo robo ya viti vya Ubunge!
Halafu wenyewe wanaamini kabisa kuwa Silaa kashinda uchaguzi! wanashangaza kweli, bado mnakazi kubwa sana ya kufanya mpaka wananchi wawakubali.